Kwanini Mukoko amendoka Young African, wakati bado aiipambania timu kwa hali na mali, huku mashabiki bado tunampenda?

Mkuu Mukoko Mbona Kawaida Kabisa Acha Akaipambanie Na TP Mazembe Maana Kwa Sasa Dar Young Africans Pale Ni Bamba To Bamba.
 
Plagiarism.😁😁
 
Ukiona nchi kila mtu Ni mchambuzi wa Mpira wa miguu,ujue Kuna tatizo kubwa la ajira nchini.
Ukiona wachambuzi wanapata watu wa kusoma uchumbuzi kama hivi, ujue ajira hii kazi inalipa
 
Yaani anatakiwa na TP Mazembe akatae wakati hapo Yanga hachezi?
Kwani amekuwa Ajib huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…