Kwanini Mukoko amendoka Young African, wakati bado aiipambania timu kwa hali na mali, huku mashabiki bado tunampenda?

Kwanini Mukoko amendoka Young African, wakati bado aiipambania timu kwa hali na mali, huku mashabiki bado tunampenda?

Mkuu Mukoko Mbona Kawaida Kabisa Acha Akaipambanie Na TP Mazembe Maana Kwa Sasa Dar Young Africans Pale Ni Bamba To Bamba.
 
Maoni yangu ni kuwa ndugu mwandishi unapocopy habari kutoka chanzo kingine ni vyema kuwapa credit au kuwa acknowledge wahusika pia inasaidia👇👇



Kuhusu Mukoko kwenda TP MAZEMBE muache aende kwa kuwa ameona GREEN PASTURES zaidi na Yanga ilikuwepo kabla ya Mukoko, ipo wakati yeye akiwepo na hata akiondoka Yanga yetu itabakia vile vile ....cha msingi ni kumtakia kila la heri huko aendako ijapokuwa haitaondoa ukweli kuwa aliwahi kuwa moja kati ya wachezaji bora kuwahi kutokea kwa Yanga💪
Plagiarism.😁😁
 
Ukiona nchi kila mtu Ni mchambuzi wa Mpira wa miguu,ujue Kuna tatizo kubwa la ajira nchini.
Ukiona wachambuzi wanapata watu wa kusoma uchumbuzi kama hivi, ujue ajira hii kazi inalipa
 
Sawa ni kweli.

Lakini mukoko ni mchezaji anayekupa matokeo ya unachotafuta muda wowote ule yuko tayari kupambana alitusaidia Sana tulipokuwa wabovu.

Leo tumewapata kina aucho ambaye Lila Mwezi anaomba likizo kwenda kwao.

Hatukatai aucho ni mzuri Sana lakini ni heri pia kuwaacha wachezaji wanaoipenda team na wenye moyo muda wote.

Zawadi haaminiki leo atacheza kesho anaamka vibaya back pass kama zote.
Yaani anatakiwa na TP Mazembe akatae wakati hapo Yanga hachezi?
Kwani amekuwa Ajib huyo
 
Back
Top Bottom