Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJA

1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8

2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1

3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9

4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9

5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7

6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18

7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1

8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3

9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6

10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26

11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13

12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1

13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14

14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6

15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15

16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24

17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35

18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26

19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20

20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14


Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania

Shetani sio mwili ni roho na roho ikizaliwa haifi
Yuko n majina zaidi ya 1,000
 
Mungu ni MMOJA tu, wengine wote ni miungu!!!

Njia ya Mbinguni ni Moja tu, Yesu Kristo,zingine ni njia fake zinazoelekea upotevuni, mautini, Jehanum.

Amen
Tuambie ni yupi huyo? wote wana majina.
 
Ukifunuliwa kwa kina utakuja jua kila kitu ni mungu. binadamu aliamua kuiita roho ya mungu inayofanya yanayoitwa makusudi ya Mungu Shetani. ila ukweli ni kuwa kila kitu ni Mungu.
na Roho inayoitwa MAKUSUDI YA MUNGU ndio binadamu aliipachika jina shetani.

anywah niko mbioni kuanzisha dini yangu karibuni.

 
Kwakuwa yeye ni mkuu na mkubwa , mwenye nguvu na uwezo kuliko kiumbe yoyote
 
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Angeitwa jina lingine bado ungefungua uzi kuhoji kwanini kaitwa hivyo pia. In short, hujui nini unataka.
 
uwezo wao unalingana, na wote waliumbwa na muumba mmoja, ndio maana shetani anauwezo mkubwa ata wa kuumba pia kiumbe chake na kinaishi milele sio kama Mungu anaumba mtu hasiyeishi milele anakufa.

HAWA NI MARAFIKI ILA WANATUCHORA TU, HAUWEZI KUZUNGUMZA NA ADUI YAKO, MUNGU ANAZUNGUMZA NA SHETANI.
Kuna kitabu kinamhus shetani awee ukisoma hiko watu wana hoja wasikilizwe
 
 
Back
Top Bottom