Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Yuko n majina zaidi ya 1,000
 
Mungu ni MMOJA tu, wengine wote ni miungu!!!

Njia ya Mbinguni ni Moja tu, Yesu Kristo,zingine ni njia fake zinazoelekea upotevuni, mautini, Jehanum.

Amen
Tuambie ni yupi huyo? wote wana majina.
 
Usimajribu Bwana Mungu wako.....aliye na masikio na asikie
 
Ukifunuliwa kwa kina utakuja jua kila kitu ni mungu. binadamu aliamua kuiita roho ya mungu inayofanya yanayoitwa makusudi ya Mungu Shetani. ila ukweli ni kuwa kila kitu ni Mungu.
na Roho inayoitwa MAKUSUDI YA MUNGU ndio binadamu aliipachika jina shetani.

anywah niko mbioni kuanzisha dini yangu karibuni.

 
Kwakuwa yeye ni mkuu na mkubwa , mwenye nguvu na uwezo kuliko kiumbe yoyote
 
Angeitwa jina lingine bado ungefungua uzi kuhoji kwanini kaitwa hivyo pia. In short, hujui nini unataka.
 
Kuna kitabu kinamhus shetani awee ukisoma hiko watu wana hoja wasikilizwe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…