Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu maisha yao yote?
Je, Ni watoto wangapi wamefariki kwa njaa?
Hayo yote yanaonesha Mungu hawezi kusaidia chochote katika hii dunia na anapewa sifa ambazo hastahili.