Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

Dua yangu,huo msimu unaopita uvuke salama,Pasi kujaribiwa kupita uwezavyo.Hasira ya MUNGU isije kukalia.
 
Mbona hueleweki?
Juzi nahisi Mungu hayupo,jana Mungu hayupo,leo mbona Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake

Sasa Mungu gani anayekuzwa kuliko uwezo wake wakati wewe umeshasema Mungu hayupo?
Watu wanamna hii Huwa hawaishi kutapatapa they feel guilty katika nafsi zao
 
acha bange kijana.uwezo wa Mungu haupimiki.
aliweza kukugeuza manii kuwa binadamu huo sio uwezo?
 
Nilitaka kukupuuza ila nimeongozwa na roho wa Bwana nikujibu ....MUNGU yupo ,yeye ni Alfa na Omega = mwanzo na mwisho . Katika yote Mungu ni pendo
Ungempa majibu sahihi ya maswali yake, pengine angebadili mawazo mkuu. Au namna gani mkuu
 
Back
Top Bottom