Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Sadaka tunaweka wapi mkuu?Nilitaka kukupuuza ila nimeongozwa na roho wa Bwana nikujibu ....MUNGU yupo ,yeye ni Alfa na Omega = mwanzo na mwisho . Katika yote Mungu ni pendo
Ameen mtumishi. Lakini rudi kujibu hizo dondooNilitaka kukupuuza ila nimeongozwa na roho wa Bwana nikujibu ....MUNGU yupo ,yeye ni Alfa na Omega = mwanzo na mwisho . Katika yote Mungu ni pendo
Mbona hueleweki?Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu maisha yao yote?
Je, Ni watoto wangapi wamefariki kwa njaa?
Hayo yote yanaonesha Mungu hawezi kusaidia chochote katika hii dunia na anapewa sifa ambazo hastahili.
Jibu hoja mkuu😂Wewe ni kichaa
Hoja yako ni ipi kakaAisee wafuata mkumbo wa kiranga mko wengi sana siku hizi
Je, ni watoto wangapi sio machokoraa mtaani?Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,
Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki,
Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita?
Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu maisha yao yote?
Je, Ni watoto wangapi wamefariki kwa njaa?
Hayo yote yanaonesha Mungu hawezi kusaidia chochote katika hii dunia na anapewa sifa ambazo hastahili.
Je, ni watoto wangapi sio machokoraa mtaani?
Je, ni watu wangapi hawapo hospitalini wakiugua?
Je, ni wanadamu wangapi hawajafariki kwenye vita?
Je, ni watu wangapi wamezaliwa wazima wakiwa hawana vilema ?
Je, ni watoto wangapi hawajafariki kwa njaa?
Wewe unaonyesha Mungu hayupo tunata anae thibitisha uwepo wakeMungu yupo ndio maana kuna matabaka hayo...Hekima ya Mungu ni mpaka usome na kufuata maamrisho yake.
Kwa mimi ;nina jukumu la kusaidia mayatima ,wajane ,mafukari ,walemavu na suala la kufa ni mawaidha tosha ya kufanya mema ili kujiandaa na kifo ,starehe za dunia ni zenye kuhadaa tena za muda mfupi.
Kwa sasa nasaidia ndugu zangu ndio maana naisha karibu na ndugu zangu ,pamoja na kusaidia walio chini yangu..
Bahati mbaya ,dunia inafuata mfumo wa ubinafsi kila mtu chake hakuna anayejali ya mwingine ...Tukiacha ufahari na kusaidiana utaona ukuu wa Mungu kama mafundisho yanavyoelekeza.
Mtu leo ananua gari ya mil .100 ili kupost mitandaoni meanwhile jirani yake hana hata mia mfukoni ,tuacheni ubepari hata maisha hayatokuwa magumu.
Kitendo hicho kinaonyesha hayupoMada ingetakiwa kuwa kwann wendawazimu kama wewe wanadogosha uwezo wa Mungu
Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani,