D DonaldJr Member Joined Apr 14, 2021 Posts 26 Reaction score 72 Mar 3, 2025 #21 Dua yangu,huo msimu unaopita uvuke salama,Pasi kujaribiwa kupita uwezavyo.Hasira ya MUNGU isije kukalia.
Dua yangu,huo msimu unaopita uvuke salama,Pasi kujaribiwa kupita uwezavyo.Hasira ya MUNGU isije kukalia.
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 808 Reaction score 2,155 Mar 3, 2025 #22 Al-mukheef said: Mbona hueleweki? Juzi nahisi Mungu hayupo,jana Mungu hayupo,leo mbona Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake Sasa Mungu gani anayekuzwa kuliko uwezo wake wakati wewe umeshasema Mungu hayupo? Click to expand... Watu wanamna hii Huwa hawaishi kutapatapa they feel guilty katika nafsi zao
Al-mukheef said: Mbona hueleweki? Juzi nahisi Mungu hayupo,jana Mungu hayupo,leo mbona Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake Sasa Mungu gani anayekuzwa kuliko uwezo wake wakati wewe umeshasema Mungu hayupo? Click to expand... Watu wanamna hii Huwa hawaishi kutapatapa they feel guilty katika nafsi zao
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Mar 3, 2025 #23 acha bange kijana.uwezo wa Mungu haupimiki. aliweza kukugeuza manii kuwa binadamu huo sio uwezo?
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 4,740 Reaction score 7,179 Mar 3, 2025 #24 Bukirilo said: Nilitaka kukupuuza ila nimeongozwa na roho wa Bwana nikujibu ....MUNGU yupo ,yeye ni Alfa na Omega = mwanzo na mwisho . Katika yote Mungu ni pendo Click to expand... Ungempa majibu sahihi ya maswali yake, pengine angebadili mawazo mkuu. Au namna gani mkuu
Bukirilo said: Nilitaka kukupuuza ila nimeongozwa na roho wa Bwana nikujibu ....MUNGU yupo ,yeye ni Alfa na Omega = mwanzo na mwisho . Katika yote Mungu ni pendo Click to expand... Ungempa majibu sahihi ya maswali yake, pengine angebadili mawazo mkuu. Au namna gani mkuu