Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Naona unachanganya mambo. Hebu kaa kwenye mada moja kwanza. Umeongelea nguvu mbili na sasa umehamia kwa shetani ambaye ni mtu (person). Sasa ni nguvu au watu? Is it forces or personalities?Unajua nini chanzo cha hasira,wizi,uuaji, uzinzi, ubinafsi,ulafi, ufisadi na mabaya yote jibu ni kwamba nguvu ya Mungu haipo ndani yako bali shetani ndie dereva wako yaani unakuwa umeuza nafsi yako kwa shetani. Nafsi yako ikikombolewa huwezi fanya dhambi ukifanya uzinzi, wizi, dhamira yako inakushtaki.