Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Kuna dini zaidi ya 4000 duniani, una uhakika Gani na dini uliyokuwepo ndo sahihi?
Atoe tangazo na dunia nzima ilisikie
Mzee baba naona upo kimabishano zaid hupo kwa ajili ya kujifunza usiyoyajua
 
Unadhani kama Shetani angekuwa Mungu, maisha yangekuaje?, SI tungekuwa tunakula tuu Hadi mbinguni
Sio rahisi, shetani hana shukrani hata umpe kafara ya ukoo wako wote wakiisha ni lazima akuue.shetani ni SAwa na mwanamke kahaba thamani yake kwako ni pesa yako tu.
Uliza waliopata utajiri kwa shetani mateso wayapitiao,Wana KILA kitu lakini hawana amani
 
Kwa ushahidi wa sayansi ya darasani Hakuna shetani
Sayansi sio kipimo cha kila uhalisia. Mfano hiki ulichoandika kina ushahidi wa kisayansi? Au una ushahidi wa kisayansi kuwa jana ulikula ukashiba?
 
Sio rahisi, shetani hana shukrani hata umpe kafara ya ukoo wako wote wakiisha ni lazima akuue.shetani ni SAwa na mwanamke kahaba thamani yake kwako ni pesa yako tu.
Uliza waliopata utajiri kwa shetani mateso wayapitiao,Wana KILA kitu lakini hawana amani
Nani kapewa utajiri na shetani?
 
Siyo sayansi ya darasani, ukiamini Kuna Shetani basi ukubali kupunguza baadhi ya sifa za Mungu.
Ni logic ya kawaida tu
Kama hakuna ubaya Hakuna dhambi mfano uoni haya wizi, uuaji,hasira, ufisadi, ubinafsi, uchoyo, nk shetani hayupo
 
Back
Top Bottom