Logbook
Member
- Jul 29, 2022
- 34
- 38
Imani ya Mungu nimeamua kubaki nayo, ila naona kama Kuna mafundisho tunafichwa.Bc ata uwepo wa Muumba mbingu na Ardhi itakua huwamini ww
Mimi falsasa yangu ni kwamba, tunaweza maisha ya utakatifu bila dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani ya Mungu nimeamua kubaki nayo, ila naona kama Kuna mafundisho tunafichwa.Bc ata uwepo wa Muumba mbingu na Ardhi itakua huwamini ww
Sasa mbona unasema wamepewa na shetani?Utajiri ni siri ya mtu
Zumarid type alikuwa na kanisa lake mwanza alipewa nguvu ya uchungaji na kuzimu akajiita mungu kwa kuwabrainwashed waumini wake kwa kutenda miujiza na uponyaji, akawa na emipire yake na kufuga watu kama zumarid akaukana ubinanadamu akaina familia yake yaani mke na watoto wake akawaaga waumini wake kwamba anaenda wakfu kumbe alikosea masharti yupo kuzimu anatumika, kanisa lake na huduma yake bado ipo inaendelea waumini wake wanaamini atarudi.Baba godi ni yupi mkuu
Bc sawa me kwa imani yangu kuwaza tu icho unachokisema ww bc nitakua namkosea pakubwa sana mola wangu so kila mmoja abaki na imani yakeImani ya Mungu nimeamua kubaki nayo, ila naona kama Kuna mafundisho tunafichwa.
Mimi falsasa yangu ni kwamba, tunaweza maisha ya utakatifu bila dini
Mkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂Kamwaga sera na kukushawishi uwe wake na umekubali. Unataka sera gani tena?
Anyway unaweza kumwomba shetani akutumie kuandika Biblia yake kama alivyofanya kwa Antony!
Ukimsujudia shetani anakupa utajiri.tamu Sana mwanzoni ila chungu Sana na majuto Sana mbeleni.Naona pana msanii afrika nguo zinazidi kumpwaya KILA siku ana feki happiness.Sasa mbona unasema wamepewa na shetani?
Ni hekaya kama huna elimu.Hekaya hii umeipata wapi?
Vizuri kabisa!Ni hekaya kama huna elimu.
Unajua chochote kuhusu meditation, metaphysics, waves, energy, religion,yoga, kundalini, laws of nature,nk kwa uchache tu.
Kama unazijua huwezi shaka kuhusu nguvu kuu mbiliVizuri kabisa!
Kama anataka kusikia upande wa shetani amtafute tu maadamu anapatikana. Atakuja kuleta ushuhuda humu ndani.Mkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂
Sasa kwa nn ye atupangie kuishi na shetani?
Hizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?Kama unazijua huwezi shaka kuhusu nguvu kuu mbili
Mkuu asantee umenipata vyema kabisaaaMkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂
Ukiuliza kwa nini tumeumbwa na mungu wanasema ili tumwabudu hapo ndio pananitatiza how come mungu atuumbe ili tumwabudu anapata niniM/Mungu akuhitaji kwa lipi kubwa ulilonalo ? Halaf pia utambue kabla ya kutumba cc binadam tayar alishaumba viumbe vyengine malaika na majini so ata asingelituumba cc binadam bado asingepat hasar yoyote
Nguvu uonekana kwenye ulimwengu wa ROHO hazipimwi kwa sayansi ya darasani.Sayansi sio jibu la KILA kituHizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?
Unaweza kuelezea hizo nguvu ili nikusaidie kuziona hizo hekaya kwa uhalisia wake?
Imagine ugomvi wa MUNGU na Shetani unakuja kumgharimu hadi Mwanadamu kwanini asingemtafutia sayari ya peke yake??? Na kwa nini hakumuua???? Hii ni sawa baba amfungie Mtoto wake chumba kimoja na nyoka halafu useme unampenda huyo mtoto kweli????Sasa kwa nn ye atupangie kuishi na shetani?
Huko pana viumbe vingine vingi tu piaMkuu napenda kufahamu mbona kuna sayari nyingi tu kwanini asinge mtupa hata huko kwenye sayari nyingine?????
Unajua nini chanzo cha hasira,wizi,uuaji, uzinzi, ubinafsi,ulafi, ufisadi na mabaya yote jibu ni kwamba nguvu ya Mungu haipo ndani yako bali shetani ndie dereva wako yaani unakuwa umeuza nafsi yako kwa shetani. Nafsi yako ikikombolewa huwezi fanya dhambi ukifanya uzinzi, wizi, dhamira yako inakushtaki.Hizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?
Unaweza kuelezea hizo nguvu ili nikusaidie kuziona hizo hekaya kwa uhalisia wake?