Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Bc ata uwepo wa Muumba mbingu na Ardhi itakua huwamini ww
Imani ya Mungu nimeamua kubaki nayo, ila naona kama Kuna mafundisho tunafichwa.
Mimi falsasa yangu ni kwamba, tunaweza maisha ya utakatifu bila dini
 
Baba godi ni yupi mkuu
Zumarid type alikuwa na kanisa lake mwanza alipewa nguvu ya uchungaji na kuzimu akajiita mungu kwa kuwabrainwashed waumini wake kwa kutenda miujiza na uponyaji, akawa na emipire yake na kufuga watu kama zumarid akaukana ubinanadamu akaina familia yake yaani mke na watoto wake akawaaga waumini wake kwamba anaenda wakfu kumbe alikosea masharti yupo kuzimu anatumika, kanisa lake na huduma yake bado ipo inaendelea waumini wake wanaamini atarudi.
Ukifika mwanza uliza kwa baba godi au kwa mungu, alipanga kanisa lake jengo la zuberi mwanza aliondolewa kwa nguvu ikawa vita Kati ya police na makerubi wake lakini police wakifanikiwa kuwatimua ndio wakaenda kujenga mji walipo sasa.
Shetani ni lazima tu akutege ukosee masharti tu akumalize.
 
Imani ya Mungu nimeamua kubaki nayo, ila naona kama Kuna mafundisho tunafichwa.
Mimi falsasa yangu ni kwamba, tunaweza maisha ya utakatifu bila dini
Bc sawa me kwa imani yangu kuwaza tu icho unachokisema ww bc nitakua namkosea pakubwa sana mola wangu so kila mmoja abaki na imani yake
 
Kamwaga sera na kukushawishi uwe wake na umekubali. Unataka sera gani tena?
Anyway unaweza kumwomba shetani akutumie kuandika Biblia yake kama alivyofanya kwa Antony!
Mkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂
 
Sasa mbona unasema wamepewa na shetani?
Ukimsujudia shetani anakupa utajiri.tamu Sana mwanzoni ila chungu Sana na majuto Sana mbeleni.Naona pana msanii afrika nguo zinazidi kumpwaya KILA siku ana feki happiness.
 
Mkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂
Kama anataka kusikia upande wa shetani amtafute tu maadamu anapatikana. Atakuja kuleta ushuhuda humu ndani.
Usipotaka kuamini aliyosema Mungu unaweza ku explore upande mwingine. Ila andaa notebook ya kurekodi ushuhuda na kuwaonya wengine.... kama ukibakia hai lakini...!
 
Kama unazijua huwezi shaka kuhusu nguvu kuu mbili
Hizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?
Unaweza kuelezea hizo nguvu ili nikusaidie kuziona hizo hekaya kwa uhalisia wake?
 
Mkuu mleta mada nadhani amemaanisha kwamba tumeambiwa story ya upande mmoja yani upande wa Mungu kumhusu shetani ila hatujasikia upande wa shetani kumhusu Mungu na kipi kilitokea huko mbinguni..daaah naandika haya lakini yanafikirisha sana...😂😂😂😂
Mkuu asantee umenipata vyema kabisaaa
 
M/Mungu akuhitaji kwa lipi kubwa ulilonalo ? Halaf pia utambue kabla ya kutumba cc binadam tayar alishaumba viumbe vyengine malaika na majini so ata asingelituumba cc binadam bado asingepat hasar yoyote
Ukiuliza kwa nini tumeumbwa na mungu wanasema ili tumwabudu hapo ndio pananitatiza how come mungu atuumbe ili tumwabudu anapata nini
 
Hizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?
Unaweza kuelezea hizo nguvu ili nikusaidie kuziona hizo hekaya kwa uhalisia wake?
Nguvu uonekana kwenye ulimwengu wa ROHO hazipimwi kwa sayansi ya darasani.Sayansi sio jibu la KILA kitu
Mfano wa nguvu hasi zitokazo kwa shetani ni wivu, hasira, uuaji, ugomvi, vita nk nguvu hazionekani kwa macho ila matokeo yake ndio uonekana kwa macho mfano hasira, uuaji, wivu, uzinzi, wizi nk
 
Sasa kwa nn ye atupangie kuishi na shetani?
Imagine ugomvi wa MUNGU na Shetani unakuja kumgharimu hadi Mwanadamu kwanini asingemtafutia sayari ya peke yake??? Na kwa nini hakumuua???? Hii ni sawa baba amfungie Mtoto wake chumba kimoja na nyoka halafu useme unampenda huyo mtoto kweli????
 
Nguvu uonekana kwenye ulimwengu wa ROHO hazipimwi kwa sayansi ya darasani.Sayansi sio jibu la KILA kitu
Mkuu napenda kufahamu mbona kuna sayari nyingi tu kwanini asinge mtupa hata huko kwenye sayari nyingine?????
 
Hizo nguvu ni kama umeme au ni watu (personalities)?
Unaweza kuelezea hizo nguvu ili nikusaidie kuziona hizo hekaya kwa uhalisia wake?
Unajua nini chanzo cha hasira,wizi,uuaji, uzinzi, ubinafsi,ulafi, ufisadi na mabaya yote jibu ni kwamba nguvu ya Mungu haipo ndani yako bali shetani ndie dereva wako yaani unakuwa umeuza nafsi yako kwa shetani. Nafsi yako ikikombolewa huwezi fanya dhambi ukifanya uzinzi, wizi, dhamira yako inakushtaki.
 
Kitu nacho amini mm there is a "supreme being" ila siamini kwenye dini zetu za duniani hapa kwasababu zote zinapotoshaa tuu, kwa sababu dini zetu zinafikirisha sana mfano mdogo ukiangalia miujiza iliyokua inatendeka zamani kulingana na vitabu vyetu vya dini siku izi iyo miujiza hamna hata kidogo sasa unajiuliza yule mungu aliyekua anatenda miujiza zamani yuko wapi sikuizi au alikua wa mchongo

Kingine Kilicho nifanya niache kuamini izi dini zetu za duniani ni, mm nmekulia kwenye dini ya kikristo tangu mdogo nlikua muumini mzuri sana ila katika miaka ya hvi karibuni nilianza kuingiwa na wasiwasi na kuanza kujiuliza hvi mungu katuumba sisi binadamu ili atuangamize au kwa sababu ukichunguza vizuri kama shetani kweli yupo sisi hatuna uwezo wa kushindana kwa kifupi hakuna binadamu mwenye uwezo wa kushinda dhambi kwa asilimia mia kwa kifupi sisi wote ni wamotoni

Ponti ya mwisho na ya muhimu sana kuliko zote ni mwenyezi mungu anatuambia kwenye vitabu vya dini kuwa MSAMEHE JIRANI YAKO KWA LOLOTE AKUTENDEALO KWA KUJUA AU KUTOJUA BILA KUCHOKA natumai pia yy atatusamehe dhambi zetu za hapa duniani tulizozifanya kwa kujua au kutojua baada ya sisi kufa kwa sababu iyo ni kulingana na mafundisho yake , sasa kama yy hatoweza kutasamehe siku ya hukumu mbona alikua anatufundisha sisi tusanehe
 
Back
Top Bottom