Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Kwani wewe ulishawahi kumuona MUNGU???? kama sio imagination tu
Huwezi pata majibu ya kisayansi kuhusu Mungu.Sayansi bado haina uwezo wa kujibu KILA kitu,hadi sasa sayansi imeweza kujibu asilimia 10 ya mambo yaliyopo duniani.
 
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.

1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?

(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?

2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).

(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?

3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)

Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.

Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?😀🙄 Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
Huu ndiyo uzi wa kumjadili Mungu.

Yeye anatumia Roho wake Mwema kutufungua mipyo yetu na fahamu zetu tumjue yeye na kusudi lake kwenye maisha yetu.

Katika hili andiko lako, ni wazi kwamba dhambi ama kumkosea Mungu ni jambo linalokukera mnoo. Anachokitaka kwako ni kumuomba na kumtumainia Yeye ili uweze kuishinda dhambi.

Wivu wa Mungu ni tofauti na wivu tulionao sisi.
 
Asante kwa hoja nzuri,
Mkuu hivi umeshawahi kuwaza kama MUNGU wetu angemuua Shetani ambaye ni chanzo cha uovu
 
M/Mungu hapati faida yoyote unapomuabudu bali faida unapata ww unaemuabudu na usipomuabud amekuandalia adhab kali sana ya moto utachomeka san uko sio kdg 😂😂😂
Yaani vitu vingine havina maana kwanza mungu alituumba sisi tuna faida gani nae kama si tusingekuwepo angepata hasara gani kama ye alituumba tumwambudu basi na yeye anatuhitaji vilevlie
 
M/Mungu akuhitaji kwa lipi kubwa ulilonalo ? Halaf pia utambue kabla ya kutumba cc binadam tayar alishaumba viumbe vyengine malaika na majini so ata asingelituumba cc binadam bado asingepat hasar yoyote
 
kuna maswali mengine ukitafuta majibu yake utajikuta unakufuru
 
Asante kwa hoja nzuri,
Mkuu hivi umeshawahi kuwaza kama MUNGU wetu angemuua Shetani ambaye ni chanzo cha uovu
Nilishawahi kuwaza hivyo.

Mungu ambacho angrmfanya shetani ni kumtowesha maana akimuua anampeleka wapi.

Lakini kuna neno lilinijia akilini kwa nini ameweka HIYARI au NIA kwenye nafsi zetu? Ameiweka HIYARI iwe huru na hajawahi kuidhibiti hiyari yetu kwa sababu ndicho Hawa alichokitaka baada ya kupiga soga na shetani.
 
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.

1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?

(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?

2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).

(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?

3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)

Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.

Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?😀🙄 Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
😃😃 Hiyo paragraph ya mwisho ni Mimi kabisa, ukinikuta church utashangaa kwanini sijaenda seminari.

All in all, kama kweli shetani yupo, huo msala wao na Mungu wakae chini waumalize, wasitushirikishe sisi binadamu huo msala wao. Kama Mungu anaona njia ya kutatua huo msala wao ni kushirikisha viumbe, basi akawashirikishe ng'ombe, wanyama wa porini au kuku, n.k
 
Iyo ni kwa upande wenu nyinyi kwa upande wetu cc tunajua lengo la kuumbwa kwetu sisi na majini ni kumuabudu tu muuba wetu hakuna kitu chengine na pia uwelewe sio majini wote ni waovu kuna wema pia kama tulivyo cc binadam.
Kwanini Mungu anataka tumwabudu??
 
Kwanini asiseme mwenyewe? Kila siku anasemewa tu, Mimi nitajuaje kama the so called "maandiko matakatifu" ni ya kweli?
Sasa ww unataka asema kwa njia gan? Ikiwa vitabu vyake vitakatifu huviamini?
 
Kuna dini zaidi ya 4000 duniani, una uhakika Gani na dini uliyokuwepo ndo sahihi?
Atoe tangazo na dunia nzima ilisikie
 
Back
Top Bottom