Unajua nini chanzo cha hasira,wizi,uuaji, uzinzi, ubinafsi,ulafi, ufisadi na mabaya yote jibu ni kwamba nguvu ya Mungu haipo ndani yako bali shetani ndie dereva wako yaani unakuwa umeuza nafsi yako kwa shetani. Nafsi yako ikikombolewa huwezi fanya dhambi ukifanya uzinzi, wizi, dhamira yako inakushtaki.