Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Nawaza kumkata mtoto wa miezi 7 bado sijapata maamuzi
 
Aisee, inafikirisha sana sana hii ishu.
 
Hahaaaaaaaa,mbingu na dunia aliziumba,asahau kitu kidogo Kama hicho.Mungu aliumba akamaliza tunayo kazi ya kujiumba kuwa Kama yeye Mfano Yesu alijiumba akawa Kama Mungu.
Au alikua kachoka labda
 
Ndio nauliza kwa nini hakutairi kabisa huko hadi tuje kuingia gharama zisizokua na mipango?
 
Ipo siku utajiuliza kwanini hukuumbwa mwanamke
Hizi akili hiziπŸ’†β€β™€οΈ

Siyo kila jambo ni kufuru. Mungu ametupa akili ya kutafakari.
Kwa mfano leo tunaaminishwa kuwa milima ni matokeo ya nguvu za dunia hususan mlipuko wa volkano na kuzalisha milima..

Lakini hakuna scientific proof kuhusu hili zaidi ya kutaja mamiliona ya miaka kuhusu uwepo wa hayo mamilima.

Hivyo suala la kukata govi ingawa lilikuwa ni kwa minajili ya torati, ni muhimu kujifunza kusudi la Mungu kutuumba wanaume na sweta kisha tunaambiwa tuikate
 
I speak what I know, indeed I have a plan
I will wait for you to join my plan.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] All being are mine.
Asipoelewa basi tena
 
Bila shaka Tumemwumba mtu
kwa rasimu iliyo bora kabisa miongoni mwa rasimu za uumbaji.
95:4 Qur'an

 
Hakusahau wala kukosea kiungo chochote. Sema wanadamu tunaona umuhimu au athari za hiyo ngozi, tukaamua kuitoa.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Khaswaaa...
 
😁😁😁😁😁 Umenivunja mbavu mkuu kwamba inawezekana tako ni moja tu😁😁😁
Yep! Ila kwasababu kila jicho linatizama kivyake ndio maana unayaona kama mawili hivi. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš¬πŸš¬πŸš¬πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…