Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Utakujakuuliza kwanini hakuumbwa akiwa amevaa nguo, au akiwa tayari ameshashiba kiasi cha kutohitaji kula tena au utakuja kuuliza kwanini hakuumbwa na pumzi ya kumtosha maisha yake yote badala ya sasa anavyopomua kila sekunde
 
Inasemekana wakati anakagua kiumbe alichokua amemalizia,mwanaume yule alijiangalia akaona isiwe tabu,katoka nduki. Na zoezi lililokuwa limebaki tu lilikuwa hilo.
Au una wazo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna aliye mkamilifu.

Ukisoma vizuri hadithi za miungu utaona namna waamini wanavyokubali mikinzano.

Inaonesha kuwa Mungu hakuwa mkamilifu na alikosea.

Hakuwa na maana yeyote kuumba govi then uje ulikate wewe kwa maumivu.

Mungu huyo hawezekaniki kwa namna yeyote ile.
 
Mwenyezi Mungu fundi mkuu yule anajua kuliko we hujiulzi mwembe mti mkubwa vile kkn ukapewa matunda madogo lkn tikitki maji na kutambaa kwake ukapewa matunda makubwa sasa fikiria mwembe ndio ungepewa matunda saizi ya tikitimaji alafu uwe unapita likudondokee kichwani ingekuwaje mkuu TUMCHE MUNGU YUPO.
 
Nyie mazee nmecheka ksng hahah kwamb tako moja afu liwe mgongon ili iwe rahis kulibeba
 
Utakujakuuliza kwanini hakuumbwa akiwa amevaa nguo, au akiwa tayari ameshashiba kiasi cha kutohitaji kula tena au utakuja kuuliza kwanini hakuumbwa na pumzi ya kumtosha maisha yake yote badala ya sasa anavyopomua kila sekunde
Jibu kwaza lililo mezani hayo mengine hayakuulizwa
 
Utakujakuuliza kwanini hakuumbwa akiwa amevaa nguo, au akiwa tayari ameshashiba kiasi cha kutohitaji kula tena au utakuja kuuliza kwanini hakuumbwa na pumzi ya kumtosha maisha yake yote badala ya sasa anavyopomua kila sekunde
Huko ni kwingine maana kwenye ku tairi kaumba alafu kaja kukemea kwwnye vitabu kama usipotairi tayari ni kosa.
Kama alikua anajua hivyo kwa nini asimalize huku huko ili mtu akija awe tayari hana dosari
 
Ili kuleta tofauti Kati ya wasukuma na sisi wastaarabu.
 
Uzidi kubarikiwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…