Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai.
Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk
Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.