Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

Kwanini Mwaka wa Uchaguzi Mkuu, viongozi wengi au watu maarufu hufariki?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai.

Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk

Nimeuliza haya, maana miezi michache ijayo Taifa litakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
 
Ebu ngoja tuone maana kuna sauti niliwahi kuisikia kwambaaali ikisema kwamba "kifo ni kifo tu"
 
Watu wanakufa kila siku tofauti ni kwamba wanasiasa wanaongelewa sana kwenye vyombo vya habari. Ila kiuhalisia wapo mamia kwa maelfu wanakufa na kifo hakina sababu kinapotaka kufanya jambo lake.
 
Back
Top Bottom