Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nyerere alisitisha uhusiano na Israel katika kutekeleza sera zake za kupinga ukandamizaji na uonevu wa binadamu wa aina yoyote ambao ungetokea mahali popote bila kujali rangi na itikadi.Akiwa Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwafukuza nchini wanadiplomasia wa Israel na kuwaacha wanadiplomasia wa Palestina.
Ni kwa nini Mwalimu aliwafukuza waisrael na kuwaacha wapalestina??
johnthebaptist wewe si ulikuwepo zama zile pale Twiga hotel mtaa wa Samora Jijini Dar es salaam? Hebu tuelezee.
Waisrael wa leo sio wale wa kale. Hawa wa leo inatakiwa wafukuzwe popote wanapoonekanaAkiwa Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwafukuza nchini wanadiplomasia wa Israel na kuwaacha wanadiplomasia wa Palestina.
Ni kwa nini Mwalimu aliwafukuza waisrael na kuwaacha wapalestina??
johnthebaptist wewe si ulikuwepo zama zile pale Twiga hotel mtaa wa Samora Jijini Dar es salaam? Hebu tuelezee.
Sema Nyerere angekuwa na ushirikiano wa kidiplomasia na Israeli, tungekuwa mbali sana na wangetusaidia kwenye vita vya Kagera maana Amin aliwateka Wayahudi kabla ya operation Entebbe.
Kiufupi kuwaunga mkono Palestine, Nyerere akizingua sana. Ndo maana tuko hivi mpaka Leo.
Kaburu hajawahi saidia nchi yeyote hata wawe na uhusiano naye vipi na hana hata shirika lake la misaadaKama ni uwezo why asingekuwa na uhusiano na South Africa ya makaburu?? Si na wao wangetusaidia sana pia?
Tuko hivi mpaka leo kutokana na thinking kama yako..., Yaani unawaza kusaidiwa na sio kujisaidia au na wewe kusaidia.....Sema Nyerere angekuwa na ushirikiano wa kidiplomasia na Israeli, tungekuwa mbali sana na wangetusaidia kwenye vita vya Kagera maana Amin aliwateka Wayahudi kabla ya operation Entebbe.
Kiufupi kuwaunga mkono Palestine, Nyerere akizingua sana. Ndo maana tuko hivi mpaka Leo.
Kwa mtazamo huu Palestina hawaaminiki, ila nimkama Arafat aliwahi kuja Tanzania sijui ilikuwa kipindi gani na alifuata niniLakini kwa mshangao wake Nyerere, ilikuwa ni Palestina hiyo hiyo iliyomuunga mkono Idd Amin wakati wa vita ya Kagera mwaka 1978.
Ikumbukwe Palestina na Libya ni nchi zilizoiunga mkono Uganda kwa kutoa silaha na wapiganaji ardhini.
Tanzania iliungwa mkono na Algeria kwa nguvu zote kwa kupewa shehena ya silaha nyingi hadi vita ilipoisha.
Sasa unajisaidiaje bila connection?Tuko hivi mpaka leo kutokana na thinking kama yako..., Yaani unawaza kusaidiwa na sio kujisaidia au na wewe kusaidia.....
Mtu anapotetea hafanyi hivyo ili apate anasaidia kutokana na kwamba kuna injustice sehemu fulani; wewe kwa logic yako hata masikini na wasiolipa kodi na wazee wote ungeweza kuwafunga au kuwaua after all huenda at that time mchango wao sio mkubwa.....
Umeandika vizuri sana na imeeleweka mno 👍Kwa kupitia funzo hilo,nafikiri Tanzania ni vizuri kuendelea na sera yetu ya kutofungamana na upande wowote.
Hii sera maana yake ni ..siyo lazima rafiki yako awe rafiki yangu,au adui yako lazima awe adui yangu pia,..ugomvi wenu siyo lazima unihusu...,na ugomvi wangu na mtu siyo lazima wengine wahusike
Aisee..., na huku alifanya hivyo kwanini..., sio kwamba alikuwa hapendi injustices huko nje na humu ndani alikuwa anavision ya a free United Africa ?Nyerere alikuwa.mpenda vita zisizomhusu
Alikuwa mpenda kununua ugomvi iwe wa palestrina,iwe wa nchi za kusini mwa Afrika,iwe Uganda,Jimbo.la Biafra Nigeria, iwe wapiganaji waasi wa Polisario wa Sahara wataka kujitebga na Morocco nk yeye kupigana tu na kuunga mkono mavita tu
Nyerere alikuwa Mura mpenda vita.
Ndio maana tumechelewa kuendelea
Bora anayewaza ngono anawaza..., kuliko anayedhani hawezi na anasubiri kusaidiwa hence wala hajishughulishi kufanya chochote....Sasa unajisaidiaje bila connection?
Connection inaleta transfer of technologies, una wataalam au magenius wa kubuni teknolojia yako mwenyewe? Kwa kizazi cha wabongo kinachowaza ngono muda wote?