Black listed
Senior Member
- Apr 6, 2023
- 181
- 260
Kiufupi kuwaunga mkono Palestine, Nyerere akizingua sana. Ndo maana tuko hivi mpaka Leo.
Kwani tukoje?
Kwani tukoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nchi tulifaidika ni na tunafaidi nini hadi leo kwenye hizo nchi ambazo tulizipigania?Aisee..., na huku alifanya hivyo kwanini..., sio kwamba alikuwa hapendi injustices huko nje na humu ndani alikuwa anavision ya a free United Africa ?
Mpinge kwa yote ila atleast alikuwa consistent na alikuwa na vision na principles...., sio leo watu flip-floppers na wanabadilika kila kukicha na wala huwezi kujua wanasimamia nini....
Aseeee ni wajomba zetu wale?Sema Nyerere angekuwa na ushirikiano wa kidiplomasia na Israeli, tungekuwa mbali sana na wangetusaidia kwenye vita vya Kagera maana Amin aliwateka Wayahudi kabla ya operation Entebbe.
Kiufupi kuwaunga mkono Palestine, Nyerere akizingua sana. Ndo maana tuko hivi mpaka Leo.
Haya alisaidia wapalestina ilipofika vita kupiga na Uganda wapalestina wakawa wanamuunga mkono Idd Amin kutupiga sisi watanzania tena Nyerere mwenyewe aliyekuwa akiwaunga mkono akiwa RaisiAisee..., na huku alifanya hivyo kwanini..., sio kwamba alikuwa hapendi injustices huko nje na humu ndani alikuwa anavision ya a free United Africa ?
Mpinge kwa yote ila atleast alikuwa consistent na alikuwa na vision na principles...., sio leo watu flip-floppers na wanabadilika kila kukicha na wala huwezi kujua wanasimamia nini....
Are you sure tumechelewa kuendelea? Au unavaa miwani ya mbao tu? Kwa taarifa yako Tanzania ni moja na nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika zikiwa ni pamoja na Nigeria, Egypt, Morocco, S/Africa, Ethiopia, Ghana, Kenya, Angola na AlgeriaNyerere alikuwa.mpenda vita zisizomhusu
Alikuwa mpenda kununua ugomvi iwe wa palestrina,iwe wa nchi za kusini mwa Afrika,iwe Uganda,Jimbo.la Biafra Nigeria, iwe wapiganaji waasi wa Polisario wa Sahara wataka kujitebga na Morocco nk yeye kupigana tu na kuunga mkono mavita tu
Nyerere alikuwa Mura mpenda vita.
Ndio maana tumechelewa kuendelea
Sasa unajisaidiaje bila connection?
Connection inaleta transfer of technologies, una wataalam au magenius wa kubuni teknolojia yako mwenyewe? Kwa kizazi cha wabongo kinachowaza ngono muda wote?
Uchumi mkubwa wa kwenye makaratasi hali halisi haiakisi hivyo mitaani na vijijini wanakoishi majority ya watanzaniaAre you sure tumechelewa kuendelea? Au unavaa miwani ya mbao tu? Kwa taarifa yako Tanzania ni moja na nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika zikiwa ni pamoja na Nigeria, Egypt, Morocco, S/Africa, Ethiopia, Ghana, Kenya, Angola na Algeria
Again mtu mwenye Busara na Utu hatoi msaada ili kesho asaidiwe anafanya hivyo kama kuna injustice...Haya alisaidia wapalestina ilipofika vita kupiga na Uganda wapalestina wakawa wanamuunga mkono Idd Amin kutupiga sisi watanzania tena Nyerere mwenyewe aliyekuwa akiwaunga mkono akiwa Raisi
UpuuziMiongoni mwa makosa ya mwalimu ndiyo hayo!, Tanzania ingekuwa mbali mno, uzuri wakihamia wamehamia, hawageuki nyuma, hawana akili mbilimbili kama wahindi.
Soma niliposhajibu..., Principles Tumefaidika nini ? Unadhani kipindi kile Tanzania ilikuwa na Sifa kiasi gani kwenye upiginia Uhuru wa nchi nyingine za Kiafrika ? Waulize kina Museveni kuna kipindi alisema hii ni kama Hijja au Sehemu ambayo watu wa Imani wanakwenda kutoa Tribute (kizazi hiki mgekuwa na akili) mgeweza kuki-market watu wakawa wanakuja kutembea na kushukuru Msaada wa Babu zao waliopata kutoka Tanzania.... (that is Priceless) Lakini ukiwa unapima every Success na Dollar Signs huwezi kunielewa...Kama nchi tulifaidika ni na tunafaidi nini hadi leo kwenye hizo nchi ambazo tulizipigania?
Kenya hawakupigania uhuru wa Africa ya kusini lakini Afrika kusini ilipopata uhuru tu wakenya wakarihusiwa kuingia Afrika ya kusini Visa free sisi tukibanwa kuingia kwa mbinde na kulipia Visa huku watanzania hadi leo wanakimbizwa kama kuku
Nini tumefaidika na Palestina? Nini tumefaidika na hizo nchi zingine zaidi ya uchumi wetu kuporomoka kwa sababu ya gharama za vita na watu wetu kufa vitani kwenye nchi zao
Nyerere alikuwa mpenda sifa zisizo na maana
Sifa tutakula? Kuwa ohh tulipigania uhuru so what ? Vijana wetu wanamaliza vyuo ajira hawana.Sisi kupiga miyowe tu ohh tulipigania uhuru nchi kibao
Daah unamaanisha sisi hatuna uwezo kujiendeleza wenyewe hadi tuwe na mafungamano na Taifa lingine litukwamue??🤔🤔Sema Nyerere angekuwa na ushirikiano wa kidiplomasia na Israeli, tungekuwa mbali sana na wangetusaidia kwenye vita vya Kagera maana Amin aliwateka Wayahudi kabla ya operation Entebbe.
Kiufupi kuwaunga mkono Palestine, Nyerere akizingua sana. Ndo maana tuko hivi mpaka Leo.
Kumbe Palestine I mshenzi hivi🤔Nyerere alisitisha uhusiano na Israel katika kutekeleza sera zake za kupinga ukandamizaji na uonevu wa binadamu wa aina yoyote ambao ungetokea mahali popote bila kujali rangi na itikadi.
Kwa mtazamo na msimamo wake huo ndiyo uliomfanya aiunge mkono Palestina kwa hali na mali kwa gharama ya kuvunja uhusiano na Israel,nchi ambayo kiuchumi ilikuwa na mwelekeo wa kuwa mshirika makini na muhimu kwa Tanzania.
Kama ambavyo alivyoifanya Tanzania kutumia rasilimali zake kusaidia kwa hali na mali nchi za Zimbabwe, Namibia ,Msumbiji,Angola na Afrika ya kusini katika harakati zao za kudai uhuru na haki,..ndivyo Nyerere alivyoiunga mkono Palestina.
Lakini kwa mshangao wake Nyerere, ilikuwa ni Palestina hiyo hiyo iliyomuunga mkono Idd Amin wakati wa vita ya Kagera mwaka 1978.
Ikumbukwe Palestina na Libya ni nchi zilizoiunga mkono Uganda kwa kutoa silaha na wapiganaji ardhini.
Tanzania iliungwa mkono na Algeria kwa nguvu zote kwa kupewa shehena ya silaha nyingi hadi vita ilipoisha.
Kwa kupitia funzo hilo,nafikiri Tanzania ni vizuri kuendelea na sera yetu ya kutofungamana na upande wowote.
Hii sera maana yake ni ..siyo lazima rafiki yako awe rafiki yangu,au adui yako lazima awe adui yangu pia,..ugomvi wenu siyo lazima unihusu...,na ugomvi wangu na mtu siyo lazima wengine wahusike
Hakuna mwanadamu asiye na mapungufuUkimfuatilia sana nyerere utagundua anaa madhaifu ykr
Sio wale ,how?Waisrael wa leo sio wale wa kale. Hawa wa leo inatakiwa wafukuzwe popote wanapoonekana
Nyerere was right on this oneMiongoni mwa makosa ya mwalimu ndiyo hayo!, Tanzania ingekuwa mbali mno, uzuri wakihamia wamehamia, hawageuki nyuma, hawana akili mbilimbili kama wahindi.
KwaniniWaisrael wa leo sio wale wa kale. Hawa wa leo inatakiwa wafukuzwe popote wanapoonekana
Ku ma la mama yakoMiongoni mwa makosa ya mwalimu ndiyo hayo!, Tanzania ingekuwa mbali mno, uzuri wakihamia wamehamia, hawageuki nyuma, hawana akili mbilimbili kama wahindi.
Are you sure tumechelewa kuendelea? Au unavaa miwani ya mbao tu? Kwa taarifa yako Tanzania ni moja na nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika zikiwa ni pamoja na Nigeria, Egypt, Morocco, S/Africa, Ethiopia, Ghana, Kenya, Angola na Algeria
Naam Tanzania haifungamani na Upande wowote wala sio kila Ugomvi inaingilia wala ilikuwa inaingilia..., bali kuna ugomvi na ugomvi..., wewe jirani zako wakiwa wanapigana vibao mme na mke nadhani havikuhusu.., ila ukiona mmoja anachukua panga kwenda kumkata mwenza wake, unless wewe ni punguani itakuwa haufanyi la maana kuacha kukemea....Kwa kupitia funzo hilo,nafikiri Tanzania ni vizuri kuendelea na sera yetu ya kutofungamana na upande wowote.
Hii sera maana yake ni ..siyo lazima rafiki yako awe rafiki yangu,au adui yako lazima awe adui yangu pia,..ugomvi wenu siyo lazima unihusu...,na ugomvi wangu na mtu siyo lazima wengine wahusike