Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Malizia: Masikini akiokota.........................View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Nilipenda Nyerere alivyopenda tuitane kwa 'title' za "ndugu".View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Pia hakuwa na ile kitu inaitwa inferiority complex !Hakuwa na viini vya kujitweza kama hawa wengine, yeye aliamini katika usawa zaidi, hawa wa sasa wanaamini katika kuheshimiwa, kuogopwa, kunyenyekewa na tabia zingine zinazofanana na hizo
Kwa nini unakimbilia kuita kitu uongo wakati jambo hulijui?Huu uongo wa wapi?
Bado sema tena kwa hio walimu wakuu wote wanazibua mishipa ya damu? Wengine hata Chemistry hajui ni nini kasoma arts mwanzo mwisho umamuita Dokta labda Dokta shikaKwa nini unakimbilia kuita kitu uongo wakati jambo hulijui?
Unajua etymology ya neno daktari?
Neno hilo maana yake halisi ni mwalimu, waliitwa walimu katika vyuo vya kufundishia uganga vya Warumi.
doc·tor
Origin
Middle English (in the senses ‘learned person’ and ‘Doctor of the Church’): via Old French from Latin doctor ‘teacher’ (from docere ‘teach’).
Kwani Dodoma ikiwa ndani ya Tanzania ni lazima Tanzania yote iwe Dodoma?Bado sema tena kwa hio walimu wakuu wote wanazibua mishipa ya damu? Wengine hata Chemistry hajui ni nini kasoma arts mwanzo mwisho umamuita Dokta labda Dokta shika
Dada yangu mwalimu ila hata ukichomwa na mwiba hawezi kukufanyia immediately surgery ndio daktari huyo?
Eti-Mo-ology ndio naelewaKwani Dodoma ikiwa ndani ya Tanzania ni lazima Tanzania yote iwe Dodoma?
Logical non sequitur fallacy.
Umefuatilia etymology ya neno niliyokuwekea?
Unaelewa hata etymology ni nini?
Umefanya logical non sequitur fallacy.Eti-Mo-ology ndio naelewa
Reverse psychologyUmefanya logical non sequitur fallacy.
Projection ya reverse psychology.Reverse psychology
Type vizuri bhasi.Ati daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Unmasking Hidden Emotional DefensesProjection ya reverse psychology.
You are boring me.Unmasking Hidden Emotional Defenses
Choice ya mtu au ni ulimbikeni wa watanzania? Watu wanang'ang'ania title wakati kichwani hamna kitu. Kama ni uanasheria usomi wake unaonekana kwa kazi unazofanya. Engineer hivyo hivyo. Siku hizi hata mashangingi yamejipa title ya udaktariNi choice ya mtu tu, hata Obama na mkewe wako level za udaktari wa kitaaluma, lakini hawapendi kutumia utangulizi huo. Ni suala la uhuru wa kikatiba. Kwa hiyo uhuru wako wa kuchagua unachopenda, usiutumie kumchagulia mwenzako,. Maisha sio kama uniform za shule ya msingi, kwamba mfanane wote
is a bit like a psychological boomerang - you throw out an emotion or trait, and it comes right back at youYou are boring me.
You are not even arguing. You are not even wrong. You are less than wrong.
I am putting you in my ignore list. From here on I will not even see your posts.
Ukishaikubali title za kupewa umekubali kununuliwa, tayari hiyo heshima uliyopewa bure inakuwa ndio bei yako.Nyerere alikuwa anaelewa tofauti ya shahada za kupewa na shahada za kusomea.
Mtu yeyote mwenye kuheshimu taalama ataepuka kutumia titles [za kitaaluma] za kupewa.
Nadhani ameajiri wataalam wenye elimu za juu, yeye akiwa ni bosi wao anashirikishwa kwenye kila mchakato wa ubunifu unaokuja kumletea pesa nyingi baadae.Is Elon a scientist per se? as was Abert Einstein?