Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

View attachment 3146597

Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.

Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.

Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Malizia: Masikini akiokota.........................
 
View attachment 3146597

Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.

Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.

Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Nilipenda Nyerere alivyopenda tuitane kwa 'title' za "ndugu".
Mfano, Ndg. Mshana; tosha kabisa. Zaidi ya hilo, mtu akitaka aitwe tofauti basi ana hali ya majitutumuzi, majivuno, kiburi, kujiinua, udhaifu, uoga, n.k.
 
Huu uongo wa wapi?
Kwa nini unakimbilia kuita kitu uongo wakati jambo hulijui?

Unajua etymology ya neno daktari?

Neno hilo maana yake halisi ni mwalimu, waliitwa walimu katika vyuo vya kufundishia uganga vya Warumi.

doc·tor
Origin

Middle English (in the senses ‘learned person’ and ‘Doctor of the Church’): via Old French from Latin doctor ‘teacher’ (from docere ‘teach’).
 
Sijui kitu pekee nachojua kuhusu Mchongameno ni Alifeli kwanzia kuongoza taifa hadi familia yake
 
Kwa nini unakimbilia kuita kitu uongo wakati jambo hulijui?

Unajua etymology ya neno daktari?

Neno hilo maana yake halisi ni mwalimu, waliitwa walimu katika vyuo vya kufundishia uganga vya Warumi.

doc·tor
Origin

Middle English (in the senses ‘learned person’ and ‘Doctor of the Church’): via Old French from Latin doctor ‘teacher’ (from docere ‘teach’).
Bado sema tena kwa hio walimu wakuu wote wanazibua mishipa ya damu? Wengine hata Chemistry hajui ni nini kasoma arts mwanzo mwisho umamuita Dokta labda Dokta shika

Dada yangu mwalimu ila hata ukichomwa na mwiba hawezi kukufanyia immediately surgery ndio daktari huyo?
 
Kwani Dodoma ikiwa ndani ya Tanzania ni lazima Tanzania yote iwe Dodoma?

Logical non sequitur fallacy.

Umefuatilia etymology ya neno niliyokuwekea?

Unaelewa hata etymology ni nini?
 
Ati daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Type vizuri bhasi.
Mantiki yako nzuri ila typing yako sasa aaaaaagh!!!!
 
Ni choice ya mtu tu, hata Obama na mkewe wako level za udaktari wa kitaaluma, lakini hawapendi kutumia utangulizi huo. Ni suala la uhuru wa kikatiba. Kwa hiyo uhuru wako wa kuchagua unachopenda, usiutumie kumchagulia mwenzako,. Maisha sio kama uniform za shule ya msingi, kwamba mfanane wote
Choice ya mtu au ni ulimbikeni wa watanzania? Watu wanang'ang'ania title wakati kichwani hamna kitu. Kama ni uanasheria usomi wake unaonekana kwa kazi unazofanya. Engineer hivyo hivyo. Siku hizi hata mashangingi yamejipa title ya udaktari
 
Back
Top Bottom