Phd za zawadi ndio hupenda phd zao zitajweView attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Eti choice ya mtu! Hebu tuache ujuaji kwenye masuala ya msingi. Mtu anayetunukiwa udaktari wa heshima hapaswi kuwa "addressed" kwa title ya Dr. Ni ulimbukeni na uchawa wa waTz ndio unaofanya watu wawaite hao wenye PhD za heshima kwa title ya Dr. Yaani ni vituko!!Ni choice ya mtu tu, hata Obama na mkewe wako level za udaktari wa kitaaluma, lakini hawapendi kutumia utangulizi huo. Ni suala la uhuru wa kikatiba. Kwa hiyo uhuru wako wa kuchagua unachopenda, usiutumie kumchagulia mwenzako,. Maisha sio kama uniform za shule ya msingi, kwamba mfanane wote
Du hujui!!! Uliza google itakwambia. Yaani karne hii bado kuna watu wanauliza. maswali kama haya kweli! Lailahaillah!Na ww pia umekosa wazo la kuanzisha thread. Kwani ukiitwa Dr na usiitwe Dr itakuwa umepata au umekosa nn? Tujaribu kujadili au kuanzisha thread za maana zenye impact kwa issues za kitaifa. Mfano kikwete kuiba gesi mtwara.
Haya tuambie ukiitwa Dr na huna sio hizo, utapata nn?Du hujui!!! Uliza google itakwambia. Yaani karne hii bado kuna watu wanauliza. maswali kama haya kweli! Lailahaillah!