Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alisema hii 😆Baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yang🤣
Kwani hata Mkapa alikubali kuitwa Dr kijinga jinga?Hao wazee miaka yao waliheshimu mno taaluma.
Sio taaluma tu pia walikuwa na utu na uzalendo pia.
Akina Biten, Putin, Netanyahu huwezi kuwaita Dr hawataki sifa za kjinga jingaAti daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Zile simulizi za zamani zina muktadha, mantiki, pamoja na maudhui makubwa sana ndani yake. Mathalani ile ya mfalme akiwa uchi mtupu huku akiwa ameaminishwa kuwa kavaa mavazi ya thamani na fahari kubwa.View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Mleta mada hapo juu.Nani alisema hii 😆
Kuna wengine wanaanza na CPA fulani,wale wa procurement nao wanaanza na PC nini sijui,bado kidogo ma HR certified nao wanaanza kujiita HR Fulani,sasa hao wote kaangalie wanachofanya huko maofisini,ni hasara tupu,rushwa za ngono kujipendekeza, uchawa na kugombea seminaAti daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Mkuu wanaotunukiwa PhD ya heshima hawaitwi daktari. Ni ulimbukeni tuView attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Yule bibi anapenda PhD,kama anavyopenda ile amka na BBC asubuhi.Mkuu wanaotunukiwa PhD ya heshima hawaitwi daktari. Ni ulimbukeni tu
Kwa mfano Obama amegaiwa PhD 14 je ulisikia akiitwa Daktari Obama?
Tuachane na ujinga na UCHAWA !!!!
Siku zote Debe tupu haliachi kupiga keleleView attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Hakuwa mshamba au kilaza kama hawa wengine ambao hawataki kusoma kupata hizo Phd za ukweli ila wananunua Udaktari na kutaka kutambulika hivyo. Mimi ni Injinia.but nimewakataza watu kuniiita hilo jina nataka tu niitwe jina langu Komeo.View attachment 3146597