INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Samahani kidogo Kuna kaneno hapo umekataja MANABII unabii unaupata vp I mean ukisoma Sana au unagewa na papaKama hawataki kuyajua maandiko kwa nini wasiyajue kwa kulipishwa Hela,manabii wapo sawa kuwauzia uponyaji watu
😂Watasema alikuwa ana Imani alivyohai..😂au Yesu anajua alikuwa ana Imani huko alipoImani unaipimaje?
"Hapa ndio kichaka cha wajiitao wa imani,
Yesu alimfufua Lazaro, akiwa maiti! Hapa imani yake ungeijua vipi? Rudi shule bro!
Mama yangu ..baada ya kusumbuliwaaa na mguu kwa miakaa kazaaa aliamua kwenda kwa mwamposa....lkn baada ya hapo alikaa week 2 au 3 akafariki...the rest is historyHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Unabii unatoka kwa Mungu na Sio kwa papa.Samahani kidogo Kuna kaneno hapo umekataja MANABII unabii unaupata vp I mean ukisoma Sana au unagewa na papa
Hana huo ubavu, dawa zake za kishirikina zinafanya kazi kanisani kwake tu maana pale ndipo alipopandikiza madudu yake ili wasiojitambua wakiingia tu wajisahau na kumuabudu yeyeHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Nani akupangie wakati wewe huamini kama kuna Mungu?So unanipangia Mimi au?
Nani alikufundisha kwamba kila kitu ni God's plan?Sasa ukisema hivi..kwamba kila kitu ni god's plan which is ultimately good...huoni kuwa unaruhusu jambo lolote... baya au zuri. Kwa kisingizio hicho hata mtoto akizaliwa na cancer utasema ni vizuri
🤡 Alikuwa Hana Imani WatakuambiaMama yangu ..baada ya kusumbuliwaaa na mguu kwa miakaa kazaaa aliamua kwenda kwa mwamposa....lkn baada ya hapo alikaa week 2 au 3 akafariki...the rest is history
Anhaaa ndo Mana unabii cku hzi hamna si ndioUnabii unatoka kwa Mungu na Sio kwa papa.
Nabii ni sauti ya Mungu kwa wanadamu
Unatofautishaje sauti ya Mungu na fikra zako mwenyeweUnabii unatoka kwa Mungu na Sio kwa papa.
Nabii ni sauti ya Mungu kwa wanadamu
😂Nimesema siamini katika dini coz zote ni man made . Na mada ni miujiza ya wachungaji ambao ni wakristo so swali la Mungu yupo au hayupo it's non of my business pia ni off topicNani akupangie wakati wewe huamini kama kuna Mungu?
So vingine sio god's plan au?Nani alikufundisha kwamba kila kitu ni God's plan?
YapSo vingine sio god's plan au?
Kutafuta sehemu ambayo utapata watu watakaokufafanulia ili uelewe sio kosa na si ujinga. Hicho unachokiamini sasa ulijifunza kwa kufundishwa ama kusoma maandiko ya watu so hakuna tofauti na kutafuta dini itakayokupa ukweli wa mambo.[emoji23]Nimesema siamini katika dini coz zote ni man made . Na mada ni miujiza ya wachungaji ambao ni wakristo so swali la Mungu yupo au hayupo it's non of my business pia ni off topic
Mwamposa na akina lusekelo wakiumwa huenda hospital,hawawezi jiombea,nao hawana Imani!? Yesu alimfufua Lazaro,Lazaro alipokua mfu alikua na Imani!?Kama hawana Imani wataponaje sasa
Pana magonjwa ya kiroho na ya kimwili.Mwamposa na akina lusekelo wakiumwa huenda hospital,hawawezi jiombea,nao hawana Imani!? Yesu alimfufua Lazaro,Lazaro alipokua mfu alikua na Imani!?
Wapo wa kweli na wa uongo wapo piaAnhaaa ndo Mana unabii cku hzi hamna si ndio