Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Apostle kuna mtu anasema huna ubavu huku.Hana ubavu huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apostle kuna mtu anasema huna ubavu huku.Hana ubavu huo
wewe una taaluma ipi ? ukijibu hili Kuna swali linafuataHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa waja nja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Naomba ili tuelimike, ,kama kuna manabii wa uongo pia wapo wa kweli, Tujuze manabii wa kweli ni wapi ? tukapate msaada huko na pia tupte kusadiki.Akina Mwamposa na nabii Musa na wenzao wa maponyo na miujiza ni matapeli tu kama matapeli wengine sema wao wametumia kivuli cha dini.
Ila uzuri Yesu alishatutahadharisha na hawa matapeli akina Mwamposa
Mathayo 24:24 NEN
24. Kwa maana manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.
Wamefanikiwa sana kuwaroga wanawake hawa matapeli utawaona wamama na wadada wanamiminika kwa hawa matapeli mpaka unawaonea huruma.
Huwa wanatumia madawa (nguvu za giza) kuwapumbuza waumini wao
Ndio haya yanatumia leo kupitia kina Mwamposa na bado kuna wengine watakuja siku za mbeleni.Akina Mwamposa na nabii Musa na wenzao wa maponyo na miujiza ni matapeli tu kama matapeli wengine sema wao wametumia kivuli cha dini.
Ila uzuri Yesu alishatutahadharisha na hawa matapeli akina Mwamposa
Mathayo 24:24 NEN
24. Kwa maana manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.
Wamefanikiwa sana kuwaroga wanawake hawa matapeli utawaona wamama na wadada wanamiminika kwa hawa matapeli mpaka unawaonea huruma.
Huwa wanatumia madawa (nguvu za giza) kuwapumbuza waumini wao
Maombi ni imani hata wanaoenda kwa Mwamposa kama hawana imani hawawezi kupokea.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Ni vizuri mkipunguza dhihaka Kwa watumishi wa Mungu, ni wapi uliomuona Yesu akiingia hospital kuponya wagonjwa! Isipo kuwa, weshida.ndio walimwendea!!Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Yoyote anayeponya na kufanya miujiza ni muongoNaomba ili tuelimike, ,kama kuna manabii wa uongo pia wapo wa kweli, Tujuze manabii wa kweli ni wapi ? tukapate msaada huko na pia tupte kusadiki.
Kama hawana Imani wataponaje sasa
Umesema vyema walikuwepo akina Kakobe kabla ya hawa akina Mwamposa, hawa akina Mwamposa na Musa nao dawa za kuroga waumini wao zikiisha nguvu watakuja wapya.
Ndio haya yanatumia leo kupitia kina Mwamposa na bado kuna wengine watakuja siku za mbeleni.
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Tatizo huna akili. Kuna hospital na kanisa. Wanaoruhusiwa kwenda hospital kutibu wagonjwa ni madaktari na hakuna daktari anaenda kanisani kutibu hata kama kuna wagonjwa.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Logical and truth!Tatizo huna akili. Kuna hospital na kanisa. Wanaoruhusiwa kwenda hospital kutibu wagonjwa ni madaktari na hakuna daktari anaenda kanisani kutibu hata kama kuna wagonjwa.
Na Mchungaji haendi hospital kuhubiri hata kama kuna waumini.
Sasa ni juu yako wewe binadamu kuamua wakati wako ukifika kwa kwenda.
Hao walokole kila siku mnalalamika wanapiga kelele huko mitaani sasa nani atawaruhusu waende hospital kupiga kelele?
Ndo maana nimesema huna akili unataka kufunga spika kwa ajili ya adhana kwenye wodi huko kwenye hospital ya ansar sunni.
Bora hao "wanaume na ndevu zao" kuliko mazombi yanasema serikali inaupiga mwingi wakayi majizi ya CAG report yanatamba masaki na nyie maskini mnaoiba chakula ili muweze kuiomna kesho mnafungwa miaka 15-20/"wajinga" na wanaume na ndevu zao wapo pale wanashabikia, Africa Bara la giza.
Ngoja wafuasi wake tujipange kukujibu, tutarudi soon 😂😂Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Akienda huko hakuna mgonjwa atakayepona hata mmoja.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Kabisa, kwakuwa Muujiza wa uponyaji ni ili mtu aamini na kuokoka na si upone urudi TRA kuibia wa-Tanganyika.Akienda huko hakuna mgonjwa atakayepona hata mmoja.