Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Mimi nina tatizo flani naumwa

Nimezunguka kwa hao wote mnaoita ni manabii na waombeaji.

Nimepakwa mafuta ya upako nmeombewa sana kwa miaka mingi. Mpaka nikakata tamaa

Nawahakikishia wenye matatizo halisi hawaponi. Wanaotoa shuhuda wamepangwa ili sisi wenye matatizo halisi tupigwe pesa.

Wale wengine atakuja siku ya kwanza anaombewa anapona ndio wanawaonesha kwenye TV

Sisi ambao hatuponi unaambiwa huna imani na haujaokoka ndo mana haujapona (wakati kwenye ushuhuda unakuta mpaka malaya wamepona) kwahio wanakupangia ratiba ya mafundisho kuongeza imani yako na kuokoka utakua unaenda kila siku na matukio yote utaambiwa uwe unahudhuria.

Utaliwa pesa mpaka uchoke.

Kama huamini mpeleke ndugu yako ambae anaumwa serious kwelikweli muone kama atapona.

For years nmehangaika mpaka nmejifunza kuishi nalo. Maana wote ni walewale tu utapoteza muda na pesa.

Hata hao mnaowasifiaga hapa ni waongo tu.

Take it or leave it ila me naongelea my personal experience. Hili tatizo nnalo since 2008, now nmejifunza kuishi nalo tu
Maombi yanaenda na bidii ya madaktari. Sali Mungu asaidie madaktari wagundue tatizo na kulipatia tiba. Hao wengine ni wapiga ramli
 
Elewa kwamba kuna mfumo wa elimu na kuna mfumo wa afya. Unataka aingilie mfumo wa afya wa serikali akamatwe, akikamatwa utaenda kumtetea? Kupona kwa kuombewa ni imani yako tu, huna imani nenda hospitali kuna madaktari wa afya ya msingi wanatibu huko
 
Sijasema anapona sababu ana Imani na dawa ninachosema Kuna wanaoamini hospitali kuliko maombi ni Haki Yao

Hospitali hukiri wazi kuwa wao hawawezi Kila kitu ndio maana hospitali zina mortuary ujue kabisa kuwa waweza pona au kuishia mortuary

Mtu kama anaamini hospitali huwezi force mtu eti amfuate hospital
Unaenda kulekule... hospital sio Imani...so unasema mwamposa anaponya kweli
 
Maombi yanaenda na bidii ya madaktari. Sali Mungu asaidie madaktari wagundue tatizo na kulipatia tiba. Hao wengine ni wapiga ramli
Madaktari wanahustle masaa vichwa vinawauma kukutibu wamesoma miaka 7 afu wewe uje kusema Mungu kakuponya kupitia madaktari...ndo maana madaktari wanalipwa hela nyingi coz hawapewi shukrani yao
 
Madaktari wanahustle masaa vichwa vinawauma kukutibu wamesoma miaka 7 afu wewe uje kusema Mungu kakuponya kupitia madaktari...ndo maana madaktari wanalipwa hela nyingi coz hawapewi shukrani yao
Wewe hatuwezi elewana. Shikilia hapohapo ulipo hakuna anayekupinga
 
Wewe hatuwezi elewana. Shikilia hapohapo ulipo hakuna anayekupinga
😂😂😂Haya mwenye Imani.. naelewa ukiamini dini lazma uamini kila kitu ni Mungu na ni good God ..ajali imetokea wamepona watu god did, wamekufa wote isipokuwa mmoja Mungu kamlinda although kawa kilema,😂wakifa wote ni mipango ya Mungu Allah knows best...so naelewa huwezi ona jinsi dini na Imani zilivyokuwa hazina mantiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mwenye Imani.. naelewa ukiamini dini lazma uamini kila kitu ni Mungu na ni good God ..ajali imetokea wamepona watu god did, wamekufa wote isipokuwa mmoja Mungu kamlinda although kawa kilema,[emoji23]wakifa wote ni mipango ya Mungu Allah knows best...so naelewa huwezi ona jinsi dini na Imani zilivyokuwa hazina mantiki
Kuna angle hatuwezi elewana. Najua moja ya hoja zako kuu ambazo wewe unahangaika nazo ni kuhusu imani kuelekea Mungu. Najua huamini kama Mungu yupo na hutaki kujua so sijisumbui
 
Kuna angle hatuwezi elewana. Najua moja ya hoja zako kuu ambazo wewe unahangaika nazo ni kuhusu imani kuelekea Mungu. Najua huamini kama Mungu yupo na hutaki kujua so sijisumbui
Mungu yupo...Ila sio kwa sifa mlizotungiana...ndo maana mnabishana kuhusu Mungu na dini coz ni made up features
 
Imani ndgu. Atake yaye kuombewa na sio ulazimishe kwenda kumuombea.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajaKwanini
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.

Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.
 
Akina Mwamposa na nabii Musa na wenzao wa maponyo na miujiza ni matapeli tu kama matapeli wengine sema wao wametumia kivuli cha dini.

Ila uzuri Yesu alishatutahadharisha na hawa matapeli akina Mwamposa

Mathayo 24:24 NEN​

24. Kwa maana manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.

Wamefanikiwa sana kuwaroga wanawake hawa matapeli utawaona wamama na wadada wanamiminika kwa hawa matapeli mpaka unawaonea huruma.

Huwa wanatumia madawa (nguvu za giza) kuwapumbuza waumini wao
 
Nguvu ya uponyaji uenda na Iman.
Lazima mgonjwa mwenyewe ndie afungue mlango
Mkuu,
Nafikiri hujaelewa watu wapo mahospitalini kwenye worse situation, Hali mbaya yaani yeye ameshakata tamaa ya kuishi anachotumaini ni miujiza na miujiza inaendana na imani.

Acheni kutetea kila kitu hata Kama kwenye logical ya kawaida Unaona kabisa si sahihi. Unapambana na cognitive dissonance.
 
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.

Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.
Dhumuni la miujiza si kuponya mwili bali roho, Halafu hapo hapo unasema yesu alimfufua Lazaro! Huoni Kama Hoja yako ina mkanganyiko?

Katika hekaya hizo za biblia una hakika dhumuni lilikuwa kuponya roho na si mwili?
 
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.

Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.

Yohana 5
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Amponya Mtu Penye Bwawa La Bethzatha
5 Baada ya haya, Yesu alikwenda tena Yerusalemu kuhudhuria sikukuu mojawapo ya Wayahudi. 2 Huko Yerusalemu, karibu na mlango uitwao Mlango wa Kondoo, pana bwawa moja ambalo kwa Kiebrania linaitwa Bethzatha ambalo lina baraza tano zenye safu za matao. 3 Wagonjwa wengi sana, vipofu, viwete, na waliopooza walingojea kwenye baraza hizo. Walikuwa wakisubiri maji yatibuliwe, [ 4 kwa maana malaika wa Bwana alikuja mara kwa mara akayatibua maji na yule aliyekuwa wa kwanza kuingia bwawani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wo wote aliokuwa nao.]

5 Mmoja wa wagonjwa waliokuwepo alikuwa ameugua kwa muda wa miaka thelathini na minane. 6 Yesu alipomwona amelala hapo, na akijua kwamba amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, alimwul iza, “Unataka kupona?” 7 Yule mgonjwa akajibu, “Bwana, sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Ninapoanza kwenda bwawani, mgonjwa mwingine huniwahi akaingia kabla yangu.” 8 Yesu akamwambia, “Simama, chukua mkeka wako, utembee!” 9 Mara moja yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea! Jambo hili lilitokea siku ya sabato. 10 Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni sabato. Huruhusiwi kubeba mkeka wako.”

11 Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chu kua mkeka wako utembee.”’

12 Wakamwuliza, “Ni mtu gani huyo aliyekuambia uchukue mkeka wako utembee?”

UKISOMA HIYO HABARI UTAGUNDUA KWAMBA HAPO KWENYE BWAWA LA BETHZATHA PALIKUA SAWA NA WODINI HOSPITAL(KWA MAZINGIRA YA SASA) PENYE WAGONJWA WA KILA AINA NA YESU ALIFANIKISHA UPONYAJI
 
Back
Top Bottom