Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kumbe yesu baadhi ya magonjwa kwake ni ngoma nzito??? Sasa mbona huwa wanasema anaweza yote??
kuna watu wengine wanaumwa kwa sababu Mungu ametaka wapitie hayo. hivyo hata wakiombewa hawawezi kupona ndio maana japo Yesu aliomba sana kikombe kimuepuke haikuwa hivyo kwani ilikuwa ni lazima apitie hayo ili aweze kukamilisha unabii
 
Watumishi uchwara watatumia hii statement, watakwambia mwanzoni kuwa hakuna jambo linaloshindikana kwa maombi

Wakishindwa kukuponya watajificha kivuli chako kama ulivosema hapo “kuna watu wengine …….”

Na pia unakanusha maelezo ya wenzio huko kuwa lazima mtu awe na imani ndo apone, so it means hata akiwa na imani kali akatoroka hospitali anaweza asipone sababu Mungu anataka huyo mtu aendelee kuteseka
 
Imani unaipimaje?
"Hapa ndio kichaka cha wajiitao wa imani,
Yesu alimfufua Lazaro, akiwa maiti! Hapa imani yake ungeijua vipi? Rudi shule bro!
Kipimo Cha Imani kinaitwa ACDS ,Yesu ni Mungu, mwamposa ni mwanadamu.
Rudi shule
 
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.

Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.
😂😂😂 Mkiwa mnajibu maswali ka haya msiingizie hekaya Kama majibu
 
kuna watu wengine wanaumwa kwa sababu Mungu ametaka wapitie hayo. hivyo hata wakiombewa hawawezi kupona ndio maana japo Yesu aliomba sana kikombe kimuepuke haikuwa hivyo kwani ilikuwa ni lazima apitie hayo ili aweze kukamilisha unabii
Sasa ukisema hivi..kwamba kila kitu ni god's plan which is ultimately good...huoni kuwa unaruhusu jambo lolote... baya au zuri. Kwa kisingizio hicho hata mtoto akizaliwa na cancer utasema ni vizuri
 
kila kitu hutokea kwakusudi maalum. Wengine wapo hospitalini wanavuna walichopanda. hivyo ni vigumu kumzuia mkulimakuvuna alichopanda/
Na mtoto mwenye miaka miwili ..mwenye cancer ya damu...kafanya nini...au dhambi za kula tunda kina Adam...bana acheni kutetea mateso in the name of god is good sijui kama Mungu wako yupo kubali kwamba Kuna watu anawatesa kupitiliza na Kuna wengine wanafurahi all their lyf..na najua utaleta mambo ya after death cjui mwenye cancer ataenda mbinguni asa why umtese..why usimwumbe kabisa...kwani kakuomba etc
 
Watumishi uchwara watatumia hii statement, watakwambia mwanzoni kuwa hakuna jambo linaloshindikana kwa maombi

Wakishindwa kukuponya watajificha kivuli chako kama ulivosema hapo “kuna watu wengine …….”

Na pia unakanusha maelezo ya wenzio huko kuwa lazima mtu awe na imani ndo apone, so it means hata akiwa na imani kali akatoroka hospitali anaweza asipone sababu Mungu anataka huyo mtu aendelee kuteseka
God wins anyways yaani
 
Back
Top Bottom