Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maombi yanaenda na bidii ya madaktari. Sali Mungu asaidie madaktari wagundue tatizo na kulipatia tiba. Hao wengine ni wapiga ramliMimi nina tatizo flani naumwa
Nimezunguka kwa hao wote mnaoita ni manabii na waombeaji.
Nimepakwa mafuta ya upako nmeombewa sana kwa miaka mingi. Mpaka nikakata tamaa
Nawahakikishia wenye matatizo halisi hawaponi. Wanaotoa shuhuda wamepangwa ili sisi wenye matatizo halisi tupigwe pesa.
Wale wengine atakuja siku ya kwanza anaombewa anapona ndio wanawaonesha kwenye TV
Sisi ambao hatuponi unaambiwa huna imani na haujaokoka ndo mana haujapona (wakati kwenye ushuhuda unakuta mpaka malaya wamepona) kwahio wanakupangia ratiba ya mafundisho kuongeza imani yako na kuokoka utakua unaenda kila siku na matukio yote utaambiwa uwe unahudhuria.
Utaliwa pesa mpaka uchoke.
Kama huamini mpeleke ndugu yako ambae anaumwa serious kwelikweli muone kama atapona.
For years nmehangaika mpaka nmejifunza kuishi nalo. Maana wote ni walewale tu utapoteza muda na pesa.
Hata hao mnaowasifiaga hapa ni waongo tu.
Take it or leave it ila me naongelea my personal experience. Hili tatizo nnalo since 2008, now nmejifunza kuishi nalo tu
Utaponaje Sasa bila Imani.hawatapona kisha wataambiwa imani yao haikukamilika
Unaenda kulekule... hospital sio Imani...so unasema mwamposa anaponya kweliSijasema anapona sababu ana Imani na dawa ninachosema Kuna wanaoamini hospitali kuliko maombi ni Haki Yao
Hospitali hukiri wazi kuwa wao hawawezi Kila kitu ndio maana hospitali zina mortuary ujue kabisa kuwa waweza pona au kuishia mortuary
Mtu kama anaamini hospitali huwezi force mtu eti amfuate hospital
Nguvu ya uponyaji uenda na Iman.Unaelewa maana ya mtu kuwa ICU?
Madaktari wanahustle masaa vichwa vinawauma kukutibu wamesoma miaka 7 afu wewe uje kusema Mungu kakuponya kupitia madaktari...ndo maana madaktari wanalipwa hela nyingi coz hawapewi shukrani yaoMaombi yanaenda na bidii ya madaktari. Sali Mungu asaidie madaktari wagundue tatizo na kulipatia tiba. Hao wengine ni wapiga ramli
Wewe hatuwezi elewana. Shikilia hapohapo ulipo hakuna anayekupingaMadaktari wanahustle masaa vichwa vinawauma kukutibu wamesoma miaka 7 afu wewe uje kusema Mungu kakuponya kupitia madaktari...ndo maana madaktari wanalipwa hela nyingi coz hawapewi shukrani yao
😂😂😂Haya mwenye Imani.. naelewa ukiamini dini lazma uamini kila kitu ni Mungu na ni good God ..ajali imetokea wamepona watu god did, wamekufa wote isipokuwa mmoja Mungu kamlinda although kawa kilema,😂wakifa wote ni mipango ya Mungu Allah knows best...so naelewa huwezi ona jinsi dini na Imani zilivyokuwa hazina mantikiWewe hatuwezi elewana. Shikilia hapohapo ulipo hakuna anayekupinga
Kuna angle hatuwezi elewana. Najua moja ya hoja zako kuu ambazo wewe unahangaika nazo ni kuhusu imani kuelekea Mungu. Najua huamini kama Mungu yupo na hutaki kujua so sijisumbui[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mwenye Imani.. naelewa ukiamini dini lazma uamini kila kitu ni Mungu na ni good God ..ajali imetokea wamepona watu god did, wamekufa wote isipokuwa mmoja Mungu kamlinda although kawa kilema,[emoji23]wakifa wote ni mipango ya Mungu Allah knows best...so naelewa huwezi ona jinsi dini na Imani zilivyokuwa hazina mantiki
Mungu yupo...Ila sio kwa sifa mlizotungiana...ndo maana mnabishana kuhusu Mungu na dini coz ni made up featuresKuna angle hatuwezi elewana. Najua moja ya hoja zako kuu ambazo wewe unahangaika nazo ni kuhusu imani kuelekea Mungu. Najua huamini kama Mungu yupo na hutaki kujua so sijisumbui
Wewe huamini kama yupo nashangaa hapa unasema yupo. [emoji1787]Mungu yupo...Ila sio kwa sifa mlizotungiana...ndo maana mnabishana kuhusu Mungu na dini coz ni made up features
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajaKwanini
Mkuu,Nguvu ya uponyaji uenda na Iman.
Lazima mgonjwa mwenyewe ndie afungue mlango
Dhumuni la miujiza si kuponya mwili bali roho, Halafu hapo hapo unasema yesu alimfufua Lazaro! Huoni Kama Hoja yako ina mkanganyiko?Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.
Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.
Mtu anaokuwa mgonjwa ndio anakuwa na imani zaidi..Wachungaji wa aina ile ni wezi tuKama hawana Imani wataponaje sasa
Kwanini YESU hakwenda Mahospitali kuponya wagonjwa?
Dhaumuni la mahubiri na miujiza ya uponyaji si kuponya mwili bali kuponya roho, muujiza wa uponyaji hutokea ili watu wwamwamini YESU KRISTO kuwa bwana na mwokozi na ni Mungu.
Soma biblia utaona Yesu alimfufua Lazaro na watu wakamwamini na kusema "hakika huyu ni mwana wa Mungu".
Yusu alimponya kipofu tge same thing!
Hospitali hata ukipona utakufa tu.
Lazaro aliyefufuliwa baadae naye alikufa.
Mdogo wangu Salary Slip tafuta mtoto wa mafundisho pale St Joseph atakufunza haya.