Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Imani unaipimaje?
"Hapa ndio kichaka cha wajiitao wa imani,
Yesu alimfufua Lazaro, akiwa maiti! Hapa imani yake ungeijua vipi? Rudi shule bro!
😂Watasema alikuwa ana Imani alivyohai..😂au Yesu anajua alikuwa ana Imani huko alipo
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Mama yangu ..baada ya kusumbuliwaaa na mguu kwa miakaa kazaaa aliamua kwenda kwa mwamposa....lkn baada ya hapo alikaa week 2 au 3 akafariki...the rest is history
 
Samahani kidogo Kuna kaneno hapo umekataja MANABII unabii unaupata vp I mean ukisoma Sana au unagewa na papa
Unabii unatoka kwa Mungu na Sio kwa papa.
Nabii ni sauti ya Mungu kwa wanadamu
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Hana huo ubavu, dawa zake za kishirikina zinafanya kazi kanisani kwake tu maana pale ndipo alipopandikiza madudu yake ili wasiojitambua wakiingia tu wajisahau na kumuabudu yeye
 
Sasa ukisema hivi..kwamba kila kitu ni god's plan which is ultimately good...huoni kuwa unaruhusu jambo lolote... baya au zuri. Kwa kisingizio hicho hata mtoto akizaliwa na cancer utasema ni vizuri
Nani alikufundisha kwamba kila kitu ni God's plan?
 
Nani akupangie wakati wewe huamini kama kuna Mungu?
😂Nimesema siamini katika dini coz zote ni man made . Na mada ni miujiza ya wachungaji ambao ni wakristo so swali la Mungu yupo au hayupo it's non of my business pia ni off topic
 
[emoji23]Nimesema siamini katika dini coz zote ni man made . Na mada ni miujiza ya wachungaji ambao ni wakristo so swali la Mungu yupo au hayupo it's non of my business pia ni off topic
Kutafuta sehemu ambayo utapata watu watakaokufafanulia ili uelewe sio kosa na si ujinga. Hicho unachokiamini sasa ulijifunza kwa kufundishwa ama kusoma maandiko ya watu so hakuna tofauti na kutafuta dini itakayokupa ukweli wa mambo.

Kuhusu miujiza inayofanywa na wachungaji wa sasa ni viini macho na ujasiriamali huko siko. Ila miujiza ipo na huenda hata wewe imekutokea
 
Kule hospitali ni sehemu ya wagonjwa wenye magonjwa mbali mbali.Ili upate uponyaji kwanza ni muhimu uwe na imani ya kupona na pia uende kwenye maombi kule kanisani Kawe.
 
Samahani wakuu, nje ya mada.
Kama Yesu alizaliwa Kwa uwezo wa roho mtakatifu, inakuaje anaingia kwenye ukoo wa Daudi?
Kuna walevi Hapa wamenibandika hili swali natokaje?
 
Mwamposa na akina lusekelo wakiumwa huenda hospital,hawawezi jiombea,nao hawana Imani!? Yesu alimfufua Lazaro,Lazaro alipokua mfu alikua na Imani!?
Pana magonjwa ya kiroho na ya kimwili.
Ya kiroho hayatibiki hospital hata madaktari ukuambia
 
Back
Top Bottom