Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Mama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa Nigeria
 
Kama Mwamposa ana uwezo wa kuponya angeponya tu wagonjwa bila hiyo CONDITION ya imani.

Huwezi kuniambia wale watu wote Ocean Road waliolala hawana imani hata kidogo.
Sehemu ambayo kifo kipo karibu imani haikosekani. Watu wanaomba hata kimoyomoyo watoke hapo kitandani. Ye aende tu.
 
Mama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa Nigeria
Mkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.
 
Mkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.
Bora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujui

Kama mtu hujaguswa na matatizo utawaona wale ni wapumbavu

Kama ni rahisi aanzishe kanisa lake ajaze kama ataweza
 
Reactions: Tsh
Mama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa Nigeria
Unanihoji tena,kifupi kunamdogo angu alikua anasoma kidato Cha 4,Kila akienda kufanya mitihani ya Moko,annual macho yalikua hayaoni, akitoka anaona

Alipewa maji tena na mtu wa mitaani tu akanawa kichwa na USO Hadi leo Yuko form 6

Ndo mana nimekujibu,kama hujawai kutwa na matatizo,utadhihaki sana,

Ila siku yakikukuta,utapewa ad kinyesi kuwa ni dawa na utaamini
 
Bora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujui

Kama mtu hujaguswa na matatizo utawaona wale ni wapumbavu

Kama ni rahisi aanzishe kanisa lake ajaze kama ataweza
Ila point ya kwenda mahospitalini ni ya muhimu. Kule kuna uhitaji.
 
Mwamposa anadili na mambo ya Giza,
Ila point ya kwenda mahospitalini ni ya muhimu. Kule kuna uhitaji.
Sasa unaumwa malaria wakati si mambo ya giza.mahospitali kunamda unaumwa madaktari wanakwambia jiongeze,nenda kienyeji

Mwamposa anadili na mambo ya Giza,sio magonjwa ya kawaida
 
Mgonjwa ndie umfuata mganga
Kwani wagonjwa wanamfuata nyumbani kwake??? Si ni huyo nabii anazunguka mikoani kutafuta wenye matatizo?? Ujinga tu huu.

Laiti kama angekuwa anapita kutoa huduma bure hapo kweli ningeamini huyo ni mtumishi wa Bwana, sasa mshenzi anapita kuuza mafuta, udongo, maji halafu anajipigia mihela tu kwani BWANA si aliwakataza akina Petro wasipokee chochote maana karama za uponyaji wamepewa bure????. Endeleeni kudanganyika.

NB. Wengi watakuja kwa jina langu nao watawapoteza wengi
 
Bora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujui

Kama mtu hujaguswa na matatizo utawaona wale ni wapumbavu

Kama ni rahisi aanzishe kanisa lake ajaze kama ataweza
Ni wapumbavu tu na mateka wa kisaikolijia
 
Bila thaka ngufu thake ni mathabahuni na kwa wathu wa Chaguo lake thuu.
 
Samahani wakuu, nje ya mada.
Kama Yesu alizaliwa Kwa uwezo wa roho mtakatifu, inakuaje anaingia kwenye ukoo wa Daudi?
Kuna walevi Hapa wamenibandika hili swali natokaje?
[emoji848]
 
Poleee
 
Mkuu nasikia kuna dini nyingine nyingi tu zaidi ya hizi mbili ambazo zinatumia Bible na Quran, hizo dini nyingine zinatumia vitabu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…