Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wamejaa tele wanaombewa nguvu za kiume.Yule ni tapeli na kakutana na wanawake wengi wajinga anawatapeli hadi nauli
Kama Mwamposa ana uwezo wa kuponya angeponya tu wagonjwa bila hiyo CONDITION ya imani.Kama hawana Imani wataponaje sasa
Mama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa NigeriaIla ukumbuke kunawatu wamepona kupitia mwamposa,ila kwakua sisi hayajatugusa TUNAROPOKA TU
Siku yakikukuta utakuja kutoa ushuhuda,
Nimeshuhudia watu zaidi ya wanne Mmoja ni mama angu,kama huna interaction na mambo ya mitaani huwez jua
Ukikaa vijiwe vyako ni jf,insta,tik talk unahisi unaifahamu sana dunia
Sehemu ambayo kifo kipo karibu imani haikosekani. Watu wanaomba hata kimoyomoyo watoke hapo kitandani. Ye aende tu.Kama Mwamposa ana uwezo wa kuponya angeponya tu wagonjwa bila hiyo CONDITION ya imani.
Huwezi kuniambia wale watu wote Ocean Road waliolala hawana imani hata kidogo.
Mkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.Mama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa Nigeria
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji120][emoji120] maninaaaWanaume wamejaa tele wanaombewa nguvu za kiume.
Bora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujuiMkuu kama uchawi upo basi na miujiza ipo.
Unanihoji tena,kifupi kunamdogo angu alikua anasoma kidato Cha 4,Kila akienda kufanya mitihani ya Moko,annual macho yalikua hayaoni, akitoka anaonaMama yako alikuwa anaumwa nini kwanza utujulishe. Pili je hakuwahi kwenda hospitali kupata dawa? Acheni kuabudu wajasiriamali wa biblia wanaochanganya na uchawi wa Nigeria
Ila point ya kwenda mahospitalini ni ya muhimu. Kule kuna uhitaji.Bora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujui
Kama mtu hujaguswa na matatizo utawaona wale ni wapumbavu
Kama ni rahisi aanzishe kanisa lake ajaze kama ataweza
Sasa unaumwa malaria wakati si mambo ya giza.mahospitali kunamda unaumwa madaktari wanakwambia jiongeze,nenda kienyejiIla point ya kwenda mahospitalini ni ya muhimu. Kule kuna uhitaji.
Anajua biashara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji120][emoji120] maninaaa
Kwani wagonjwa wanamfuata nyumbani kwake??? Si ni huyo nabii anazunguka mikoani kutafuta wenye matatizo?? Ujinga tu huu.Mgonjwa ndie umfuata mganga
Ni wapumbavu tu na mateka wa kisaikolijiaBora umemwambie kijana,usijifanye unajua kumbe hujui
Kama mtu hujaguswa na matatizo utawaona wale ni wapumbavu
Kama ni rahisi aanzishe kanisa lake ajaze kama ataweza
Hoja mfuKutakuwa na conflict of interest hospitali sio sehemu ya kupona TU pale Bali kuna biashara ya dawa inafanyika pale.
Unaweza pewa dawa ya kupoza Ili kesho uje tena na tena.
Bila thaka ngufu thake ni mathabahuni na kwa wathu wa Chaguo lake thuu.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
[emoji848]Samahani wakuu, nje ya mada.
Kama Yesu alizaliwa Kwa uwezo wa roho mtakatifu, inakuaje anaingia kwenye ukoo wa Daudi?
Kuna walevi Hapa wamenibandika hili swali natokaje?
PoleeeAtawapanga saa ngapi? Hivi kweli manaamini anaamini yanayoendelea pale? Pale kuna wanaopangwa, wenye hisia, na wanaopona kwa kudra za mwenyezi Mungu.
Watu wote wasiotembea pale wana magongo, nataka waonyeshe mmoja kaja na wheel chair, akainuka na kutembea.
Wa Africa ni watu wa hovyo sana, sio kwamba Mungu haponyi, anaponya, ila hawa manabii ni waganga wa kienyeji watupu.
Wakina Mama sawa, nashangaa kweli mwanaume na Makende yale mawili anashabikia ule ujinga pale, ajabu ajabu sana
1. Story ya Yesu kwenye gospels tu 4 Kuna tofauti as if ni story nne from different ppo na ndani ya hizo story Kuna contradictions pia
2. Kuna dini zaidi ya buku na each religion Ina madhehebu yake...
3. Mungu angekuwa anatokea watu na yupo mahali kote kila mahali kungekuwa na mtume mwenye neno moja dini moja na Mungu angekuwa na sifa moja...ila tunachoona ni kila mtu kuja na fikra zake na kumuita Mungu coz we can't prove otherwise..ndo maana kila kukicha watu wa dini wanapingana kuhusu biblia Quran na Mungu kiujumla