Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

wewe una taaluma ipi ? ukijibu hili Kuna swali linafuata
 
Naomba ili tuelimike, ,kama kuna manabii wa uongo pia wapo wa kweli, Tujuze manabii wa kweli ni wapi ? tukapate msaada huko na pia tupte kusadiki.
 
.
Ndio haya yanatumia leo kupitia kina Mwamposa na bado kuna wengine watakuja siku za mbeleni.
 
Maombi ni imani hata wanaoenda kwa Mwamposa kama hawana imani hawawezi kupokea.
 
Ni vizuri mkipunguza dhihaka Kwa watumishi wa Mungu, ni wapi uliomuona Yesu akiingia hospital kuponya wagonjwa! Isipo kuwa, weshida.ndio walimwendea!!
 
Hata kama Mwamposa sio mtumishi wa Mungu, lakini tuache ngano na magugu vikue pamoja.
 
.

Ndio haya yanatumia leo kupitia kina Mwamposa na bado kuna wengine watakuja siku za mbeleni.
Umesema vyema walikuwepo akina Kakobe kabla ya hawa akina Mwamposa, hawa akina Mwamposa na Musa nao dawa za kuroga waumini wao zikiisha nguvu watakuja wapya

Dawa za kuroga huwa wanachukua Nigeria
 


"wajinga" na wanaume na ndevu zao wapo pale wanashabikia, Africa Bara la giza.
 
Tatizo huna akili. Kuna hospital na kanisa. Wanaoruhusiwa kwenda hospital kutibu wagonjwa ni madaktari na hakuna daktari anaenda kanisani kutibu hata kama kuna wagonjwa.
Na Mchungaji haendi hospital kuhubiri hata kama kuna waumini.
Sasa ni juu yako wewe binadamu kuamua wakati wako ukifika kwa kwenda.
Hao walokole kila siku mnalalamika wanapiga kelele huko mitaani sasa nani atawaruhusu waende hospital kupiga kelele?
Ndo maana nimesema huna akili unataka kufunga spika kwa ajili ya adhana kwenye wodi huko kwenye hospital ya ansar sunni.
 
Logical and truth!
Wapuuzi wakiumwa na kupagawa na mapepo wnakimbilia kwenye maombi!
Hapa wanaongea kwakuwa hawajatupiwa majini .
 
"wajinga" na wanaume na ndevu zao wapo pale wanashabikia, Africa Bara la giza.
Bora hao "wanaume na ndevu zao" kuliko mazombi yanasema serikali inaupiga mwingi wakayi majizi ya CAG report yanatamba masaki na nyie maskini mnaoiba chakula ili muweze kuiomna kesho mnafungwa miaka 15-20/
 
Ngoja wafuasi wake tujipange kukujibu, tutarudi soon 😂😂
 
Akienda huko hakuna mgonjwa atakayepona hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…