Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kiroho ni Nini si tushawakataza kutumia hili Chaka la kujifichia
Umenena vema kabisa. Kiroho ni kitu kinatakikiwa kielezeke pia. Mbona mambo mengi kama kupaa kwa Yesu au kuingia kwake kwenye nyumba iliyofungwa milango vinaelezeka kwa quantum physics? Quantum tunnelling, superposition n.k. Yesu aliwasahihisha Wayahudi kuhusu amri iliyo kuu, akasema pia mpende Mungu kwa AKILI ZAKO ZOTE. A blind faith is something next to ignorance.
 
Umesema vyema
Lakini ifike mahali hata mamlaka za nchi zitafute namna ya kukomesha huu wizi wa kujificha kwenye kichaka cha dini. Maana watu wameona kichaka hicho hakuna mkono wa dola unaweza kuwafikia kwa hiyo wanawatapeli watu kwa raha zao!
 
Atawapanga saa ngapi? Hivi kweli mnaamini yanayoendelea pale? Pale kuna wanaopangwa, wenye hisia, na wanaopona kwa kudra za mwenyezi Mungu.

Watu wote wasiotembea pale wana magongo, nataka waonyeshe mmoja kaja na wheel chair, akainuka na kutembea.

Wa Africa ni watu wa hovyo sana, sio kwamba Mungu haponyi, anaponya, ila hawa manabii ni waganga wa kienyeji watupu.

Wakina Mama sawa, nashangaa kweli mwanaume na Makende yale mawili anashabikia ule ujinga pale, ajabu ajabu sana
Maku kabisa
 
Mtaji wa hawa matapeli wa kidini ni ujinga, upumbavu na hofu ya wafuasi wake, mwamposa ni tapeli full stop
Hata ukitukana matusi yote unayoyajua,huwezi kuubadili ukweli uliopo,kuna watu wanapona shida zao kwa Mwamposya,tena shida zilizowasumbua kwa miaka mingi,wakati nyinyi wenye kiburi cha uzima mnaendelea kupikiana majungu,waacheni wenye shida zao waendelee,kufunguliwa.
 
Umenena vema kabisa. Kiroho ni kitu kinatakikiwa kielezeke pia. Mbona mambo mengi kama kupaa kwa Yesu au kuingia kwake kwenye nyumba iliyofungwa milango vinaelezeka kwa quantum physics? Quantum tunnelling, superposition n.k. Yesu aliwasahihisha Wayahudi kuhusu amri iliyo kuu, akasema pia mpende Mungu kwa AKILI ZAKO ZOTE. A blind faith is something next to ignorance.
😅Hee hayo mambo ya quantum physics na yesu hebu niache mi simo huku
 
Hata ukitukana matusi yote unayoyajua,huwezi kuubadili ukweli uliopo,kuna watu wanapona shida zao kwa Mwamposya,tena shida zilizowasumbua kwa miaka mingi,wakati nyinyi wenye kiburi cha uzima mnaendelea kupikiana majungu,waacheni wenye shida zao waendelee,kufunguliwa.
Danganya hao hao wapumbavu, wote hawa ni matapeli wanao ride kwenye mtaji wa ujinga, mama kauza vijichapati vyake, tapeli hili linaenda na kumfagia huyu mama, tapeli mwingine anayejiita bushiri no 1,amekua fugitive kwa raping cases na ponzi schemes, kama yupo safi why akimbie kesi zake?
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Julize pia kwann ma bank yasiwafuate watu vijiwen au ktk biashara zao na kuwa tunzia pesa zao ...
 
Kuombea watu ili wapate afya ni agizo la Yesu Kristo kiongozi wa kanisa.
Aya Zipo.
Swala kuombea wagonjwa haliji tu haraka haraka au kwa mapenzi ya muombeaji.

Hamjiulizi tu, ni kwanini hakuna Nabii wala Mtume aliyewahi kwenda Hospitali kuombea Wagonjwa kwenye hivyo vitabu mnavyoviamini ?

Mnaosema hivyo ni kwamba hamyaamini Mambo ya Imani wala Dini.

Hali inayo pelekea kuwatukana watumishi wa Mungu kila kukicha, wawe wanaombea au hawaombei nyie kila siku kazi yenu ni kupinga, Hakuna Mungu, Dini ni utapeli, flani ni mwango Nk.

Watumishi wengi katika hali yoyote ile wanaisaidia jamii fulani kuacha matendo maovu na kuwapa nafuu ya kisaikolojia.

Ki Imani ya Kikristo kuombea hakuji kwa mapenzi ya Muombeaji Bali ruhusa ya Roho Mtakatifu.
Hivi mmejiuliza kuwa.

Je huko Hospitali kuna mazingira ya Uwepo wa Roho Mtakatifu?

Je Roho Mtakatifu amemruhusu Muombeaji akaombee watu Mahospitalini?

Je hao wanaotaka kuombewa wamefanya juhudi yoyote ya kuhitaji maombi toka Imani fulani na wakashindwa hadi wafuatwe walikolazwa?

Kwa Imani ya Kikristo Kiongozi wao Kristo mwenyewe alishawahi kuombea wagonjwa Mahospitalini?

Au Musa au Paulo au Elisha?
Kama sio ni kwanini musiwaulize wao kwanza ?

Kama hao watumishi hawaendi kuombea watu Mahospitalini Nendeni nyie mkawaombee huko Mahospitalini.

Kumbukeni kuwa hata akina Gwajima pamoja na ujinga wao mwingi lakini wamesaidia Maelfu ya watu kutenda wema, na kustawi na Kuokoka.

Hivyo kila mtumishi wa Mungu ana mchango mkubwa kwa jamii husika, hivyo anastahili heshima hata ndogo tu kwa hiyo kazi.

Nyie wapinga Dini na Imani endeleeni tu na Kauli zenu za kupinga Dini inatosha.
Na sio kuanza kusema wapi panahitaji maombezi na wapi hapahitaji.
Kazi ya kuombea wagonjwa sio ya kula chapati na Maharage na kushiba na kuanza kuongea ongea pumba.
 
Back
Top Bottom