Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Dah! Ila Mzee Cherehani siyo poa kabisa! Alimfyeka Popoma sikio lake la kushoto, na kidole cha mkono aisee!!!!Ni mbeya mbeya hivi na ana id nyingi Sana.Saa hizi anamuandama mfanyabiashara taikun wa mihogo pale Kawe sokoni bana Cherehani.