Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda 🇷🇼.

Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.

Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
 
Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana somba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda [emoji1206].

Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.

Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
hapa jf anaendesha zaidi ya ID 1000. mimi namsifu kwa uwezo wake wa kukumbuka password ya kila ID.

ukute ktk ID zinazokomenti kwenye uzi huu, baadhi ni zake.
 
Yeye ndo muasisi wa hilo so jina limemgeukia
Of course siyo muasisi ila amekuwa akipenda kulitumia sana kukebehia watu...

Kwa nini nasema siyo muasisi? Popoma ni aina ya mti ambao una miba siyo mikali sana, una ulaini na katikati ni tupu (hauna kiini imara)

Mti huo haufai kwa magogo ya choo wala nguzo za kujengea bali watu hupenda kuutumia katika kujengea ua wa miti kwa kuwa unachipua haraka sana. Mtu akikwambia wewe ni popoma maana yake wewe ni hovyo kabisa (empty kichwani)

Kikwetu mti huo tunauita mpome

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda 🇷🇼.

Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.

Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
Muulize braza Matola atakujibu 😂
 
Back
Top Bottom