Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

kwasababu hupenda kusikia mazuri yake tu. yaani akisema Manula ni golikipa namba moja duniani wote museme ndiyooo. akisema SAUT ndiyo chuo cha pili kwa ubora duniani baada ya HAVARD wote mseme kweli kabisa. ukimpinga anatukana
Na wenge BCBG ndio bendi bora kuwahi kutokea ulimwenguni...ukimbishia na hili lazima uoge mitusi
 
kwasababu hupenda kusikia mazuri yake tu. yaani akisema Manula ni golikipa namba moja duniani wote museme ndiyooo. akisema SAUT ndiyo chuo cha pili kwa ubora duniani baada ya HAVARD wote mseme kweli kabisa. ukimpinga anatukana
[emoji1787][emoji1787], popomer ni mwehu kbsa, huwa hatak kumpinga na kile anachokiweka kweny nyuzi zake
 
Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda [emoji1206].

Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.

Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.[emoji23]
 
Ana note book kahifadhi I'd na password zake.
popoma must be suffering from something very serious. it could be a psychological disorder that connects directly with his mental health.

ukichunguza nyuzi zake utagundua hili. haiwezekani katika hali ya kawaida mtu mmoja umiliki zaidi ya ID 1000 jf.

kingine ni ile tabia yake ya ku react haraka na kuanza kutukana hovyo kila anapokuwa challenged. na hii ndio inasababisha ile ID yake maarufu iwe inakula ban kila mara.
 
Katika zile I'd za popoma hii ni I'd namba 235.

I'd namba moja ipo stoo inasikilizia mashambulizi mazito ili iweze kuyakabiri.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
ID number 500 ya popoma ikifatilia mjadala kwa umakini.
giphy.gif
 
popoma must be suffering from something very serious. it could be a psychological disorder that connects directly with his mental health.

ukichunguza nyuzi zake utagundua hili. haiwezekani katika hali ya kawaida mtu mmoja umiliki zaidi ya ID 1000 jf.

kingine ni ile tabia yake ya ku react haraka na kuanza kutukana hovyo kila anapokuwa challenged. na hii ndio inasababisha ile ID yake maarufu iwe inakula ban kila mara.
Sasa kwanini umchalenji challenge mwenzio? We unadhani raha?
 
Popoma=kilaza=empty minded=fala=ndezi..lakini sidhani kama huyu jamaa yuko hivyo. Huyu ana mengi anayoyajua na ana IQ ya juu kutokana na threads zake. Wengi wanaomchukulia poa nadhani hawako sawa au wanaongea kimasikhara tu! Mimi binafsi nikiona thread yake lazima niweke kituo.
 
Back
Top Bottom