Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Popoma ni mtu hamna kitu kichwani. Umehakikisha wapi kwamba anapendwa na wengi?.
 
kuna watu ukiwaona kwa nje ni wastaarabu ila UNAFKI unawaaribia CV sana.
 
Huyu mwananzengo wa JF, ambaye pia ni mwana Simba wa MSIMBAZI mwenye mapenzi tele kwa Magufuli, ambaye pia amekuwa akijitanabahisha kuwa yeye ni mtu wa Mara mwenye asili ya Rwanda 🇷🇼.

Memba huyu msomi wa nyegezi, mwenye akili sana anayependwa sana na watu, ila wachache wenye husda ndio humsababishia ban za mara kwa mara.

Kwanini anatambulika kwa wengi kama popoma? Zaidi yake mbona sijawahi kusikia memba mwingine akiitwa kwa jina hilo?
Ni mchanga sana anatumia upepo wa story za vijiweni kujenga maudhui
 
ID number 500 ya popoma ikifatilia mjadala kwa umakini.
giphy.gif
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu sina
 
Back
Top Bottom