Nimejifunza sana hata kama unajua mambo mengi ukubali kukosolewa ,usipende kutukana hovyo kisa umetofautiana mtazamo pia watu wengiNope. Mshikaji ni bonge la mwana ila JF watu wanapenda ushindani na kubishana. GENTAMYCINE, ni bonge la mtu. He is a real great thinker ukiachana na kasoro za kibinadamu ambazo mimi ninazo nyingi zaidi yake
Haka kabinti kanajua kweli kutukana matusi ya zamaniDuh noma mwanaume anaitwa binti mbona inauma sana
mbona yupo hapa kwenye uzi,multiple ID's syndromeKwani popoma kala ban?
Sahii kabisaHata kama kaandika pumba anataka apewe support..hataki kukosolewa...ana upopoma uliovuka kiwango.
#MaendeleoHayanaChama
Jamaa ni kilaza popoma
Popoma halina akili lileHahaha!! uzi anaweza kuanzisha na kufika page hata kumi huku ID zote zikiwa zake akijiQuote mwenyewe..
Unaanzisha bifu na Mr Kalemera GENTAMYCINE ? ngoja amalize shughuli zake katika mechi ya leo aje.Jamaa ni kilaza popoma
Nimeshampiga tofaliUnaanzisha bifu na Mr Kalemera GENTAMYCINE ? ngoja amalize shughuli zake katika mechi ya leo aje.
pozi pozi mamaPopoma maana yake nn
🤣🤣Karistimatic fella , game changer , entertainer na talented .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Popoma lile halina akili kabisaPopoma Game changer