Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Ni mbeya mbeya hivi na ana id nyingi Sana.Saa hizi anamuandama mfanyabiashara taikun wa mihogo pale Kawe sokoni bana Cherehani.
Dah! Ila Mzee Cherehani siyo poa kabisa! Alimfyeka Popoma sikio lake la kushoto, na kidole cha mkono aisee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…