Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndioo🥂Si ndio? 🥂
Mwanamke akiwa na kazi ya kumpatia pesa/kipato kuolewa siyo lazima.
Hapana mkuupichani ni wewe binti yangu
Mwamba anapiga spana hataki kuwa interrupted, hahahaaMwamba is cold AF,
aloo!1 nilikua nimeshachanganyikiwa mambo yangu hayoHapana mkuu
Kumbe wanaolewa sababu ya umasikiniMwanamke akiwa na kazi ya kumpatia pesa/kipato kuolewa siyo lazima.
Sio yeye ila anafanana nae 😂😂aloo!1 nilikua nimeshachanganyikiwa mambo yangu hayo
Naamini ni mambo ya kutafuta contents kwa socials tu ila kiuhalisia haimake sense. Everyone got some preferences.Ndioo🥂
Hizi kauli zimekuwa nyingi sana miaka hii ukizichukulia serious sana unachanganyikiwa.
Hii kauli siyo sahihi🙆🏻♀️😅
Mwanamke akiwa na kazi ya kumpatia pesa/kipato kuolewa siyo lazima.
AtupisheHii kauli siyo sahihi