Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Ila hivi vitu siku hizi unweza ukakuta binti,18-25 ila machine imechakazwa kama kama mabus ya mwendokasi kila siku trip.Japo ndio akiwa mbichi ndio anakunjika vizuri, ila siku hizi hata hao wabichi washaharibika hawakunjiki.
 
Sio sawa. Acheni kudharirisha dada na wadogo zetu. Hiyo ni kauli mbaya sana.
Leo nakuunga mkono mwalimu.

Kama mwanamke ana vigezo vyote unavyohitaji, na huo umri wa 30, kwanini sasa asiolewe?

Utajali miaka au experiences unazopata ukiwa nae?

Eti 'wametumika sana' kwani kile kiungo kina makombo?

Jamii yetu inajisahau sana.
 
Ila hivi vitu siku hizi unweza ukakuta binti,18-25 ila machine imechakazwa kama kama mabus ya mwendokasi kila siku trip.Japo ndio akiwa mbichi ndio anakunjika vizuri, ila siku hizi hata hao wabichi washaharibika hawakunjiki.
Kama kashaharibika akiwa hapo je akifika hiyo 30s atakuwaje,
 
30 YRS kwasasa bado Mwanamke ni mdg na pengine ndio amemaliza chuo, sio kama jamaa anavyosema na 35 YRS atasemaje sasa?

Huu ni Udhalilishaji na kuwakatisha tamaa wanawake as if jamaa hana ndugu wa kike au amezaliwa na Mwanaume pekee bila mama?
 
Kama kashaharibika akiwa hapo je akifika hiyo 30s atakuwaje,
Unaweza ukakuta body count ya mwenye 30yrs ni ndogo kuliko kwenye 18-25,ndio maana nikasema haya haya tabiriki kabisa kwa hiki kizazi chetu cha sasa cha wanawake,jamii yetu maadili yameshuka kwa kila rika.
 
Kumbe wanaolewa sababu ya umasikini
Kwa kiasi kikubwa wanawake wanaolewa kupata life security. Wakijipata ndani ya ndoa wanadai talaka au kuua mume ili waishi kwa uhuru. Wapo baadhi wanaotoka kwenye familia za kitajiri wao huolewa sababu ya social pressure. Ni asilimia ndogo sana ya wanawake wenye uwezo wanaolewa sababu ya upendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom