Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Jaman msioe wenye miaka 30 wenye 30 wenyewe hawa hapa sasa
 

Attachments

  • image_search_1738041021219.jpg
    image_search_1738041021219.jpg
    7.6 KB · Views: 1
Sidhani! Wapo ambao ni 30+ ni Mabikra! Bado wana nafasi kujenga ndoa wakiolewa.
Kwa hiyo huo ni mtazamo hasi kuamini kuwa kila binti mwenye 30+ ametumika.
 
Siku zikiisha Je? 😅😅😅😅
Sii unakuwa replaced na mwenye hips mwengine...ndio raha ya mwanaume kuwa nanhela yaani wee unakula totoz nzuri nzuri tuu🤣🤣🤣🤣
 
jamaa anawapiga za utosi haswa

lakini na hawa mabinti walikuwa wapi siku zote wanakuja kushituka madogo wa 2000 wanarauka
Walijua madogo wa 2000 watakua kama wao tu kuwa watachelewa kufanya mapenz hawajui kuwa madog wa sas wanafanya ngono wakiwa na umri mdog mnoo 😄
 
Inaonekana huyo jamaa katika dunia yake anayoiishi ule msemo wa vitoto vya 'afu mbili' bado haujaika, au hajui kwanini huo msemo umeibuka.
Aneongela kutooa 'singo maza' mbaye mwanaume aliyezaa naye yupo hai ningemuunga mkono, ila kwenye hili la above 30 asidanganye watu, watu wazingatie tabia tu na best fit kwao.
 
kweli kabisa safi sana mwanasaikolojia, ingekuwa mm ni Mungu ningemuongezea miaka 50 zaidi ya kuishi, kwa kuusema
UKWELI MCHUNGU.
puu mbaka! 30yrs? Expired.
 
Mwanamke akiwa na kazi ya kumpatia pesa/kipato kuolewa siyo lazima.
Kuolewa sio lazima kabisa lakini ishu utakuja kuzaa mtoto ambaye utamkosesha haki ya kulelewa na wazazi wawili .

Wanaojitambua ni wale hawana mambo ya ndoa wala hawana watoto.
 
Tuliharibu huu mtindo kwa kufuata elimu ya kisasa yenye mlolongo mrefu , mwanamke wa miaka 30 naona bado ana nafasi ya kuolewa tena kubwa ...Mimi napenda wanawake wakubwa kwa kuanzia miaka hiyo kwa vile zipendi utoto.

Maisha hayana formular , mwanamke akizaa mapema : kwa mfano miaka 21 basi akifika miaka 30 kashachoka na tumbo limemshuka ..Ila mwanamke ambaye ana presha akatulia zake labda alikuwa masomoni na kujiweka vizuri basi miaka 30 ni perfect age ; kwanza mambp mengi ya kijinga kashaacha , akili imekua vya kutosha.

Hizi elimu zenu zimepitwa na muda
 
Kuolewa sio lazima kabisa lakini ishu utakuja kuzaa mtoto ambaye utamkosesha haki ya kulelewa na wazazi wawili .

Wanaojitambua ni wale hawana mambo ya ndoa wala hawana watoto.
Siku hizi mwanaume na mwanamke wanalelea watoto vizuri pasipo ndoa.
 
Back
Top Bottom