Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Kwanini mwanamke mwenye miaka 30+ asiolewe?

Kuna mdau aliwahi kusema humu, ukiona binti kafika 30 na hajaolewa basi kuna mawili.

1. Ameshatumika saana so sehemu kubwa ya wanaume wanaona ni kipengele.

2. Amejitunza sana.
 
Kwa jinsi wanawake wakifikisha miaka 30 wanavyoonekana wamezeeka hapo mwanasaikolojia ana hoja ya msingi na concrete evidence ya kuitetea hoja yake
Ha ha ha we jamaa bhaaana.
 
Mwanamke hadi kufikia umri wa 35 unatakiwa uwe na angalau watoto wawili na kazi/biashara yako. Hutaumiza kichwa na ya kuolewa
 
Kwa jinsi wanawake wakifikisha miaka 30 wanavyoonekana wamezeeka hapo mwanasaikolojia ana hoja ya msingi na concrete evidence ya kuitetea hoja yake
Kuzeeka kwa mwanamke inategemea , nikikuonyesha mdogo wangu unaweza kushangaa...Wenzake waliozaa mapema wana watoto , wengine wawili wamekomaa ila yeye unaweza kusema ana miaka 18 .

Kiufupi atakavyotumika , maisha (umaskini kama matumizi ya kuni ) , kutojitunza , msongo wa mawazo na Mangonjwa .
Mwanasaikolojia anasema zaidi kwa kutumika hasa kwa tabia za wanawake wa kisasa..
 
Kama demu ana miaka 30 hajawai kuolewa na ashawai kupita chuo,uyo ashatumika sanaa aisee..
Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.
 
View attachment 3215776
Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
Atabaki na maneno yake Kila siku wataolewa na wanazidi kuolewa, hivi watu tukoje? Wa miaka Tisa asiolewe eti ndogo, wa miaka thelathini eti asiolewe hana jipya, Dunia Haina akili Akili kichwani mwako, Oa/Olewa na unayempenda atakayekupa unachokihitaji, awe single mom, awe mshangazi, awe Binti mbichi, awe aliachika, Oa. Kwa Mwanamke awe shuga day, awe ana watoto, uwe mke wa pili, awe kijana mbichi Olewa na yule unayemtaka, ukisikiliza watu utakuta unabaki hivyohivyo, Mwacheni na sikolokia yake.
 
Kama demu ana miaka 30 hajawai kuolewa na ashawai kupita chuo,uyo ashatumika sanaa aisee..
Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.
Kama alopita chuo ametuma sana basi ambae hajapita chuo atakuwa ametumika mara tatu yake.
 
Back
Top Bottom