Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Jamaa kazinguaHuyu Jamaa amewashambulia sana utadhani amekataliwa,smell like mental illness
Sawa lakini Je wamemwambia wanataka kuolewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kazinguaHuyu Jamaa amewashambulia sana utadhani amekataliwa,smell like mental illness
Sawa lakini Je wamemwambia wanataka kuolewa?
Hatari sana mkuu.Kama kashaharibika akiwa hapo je akifika hiyo 30s atakuwaje,
Tumpe kiti.dahhhhhh ukweli usemwe tu.... huyo ndo mwenyekiti ?
Hongera saaana mkuu.Me nimebahatisha plate no A yangu (age 33) ila ilikua imepark, nmekuta engine safi kabisa
Ha ha ha we jamaa bhaaana.Kwa jinsi wanawake wakifikisha miaka 30 wanavyoonekana wamezeeka hapo mwanasaikolojia ana hoja ya msingi na concrete evidence ya kuitetea hoja yake
Haki ya nani nimecheka saaana.kweli kabisa safi sana mwanasaikolojia, ingekuwa mm ni Mungu ningemuongezea miaka 50 zaidi ya kuishi, kwa kuusema
UKWELI MCHUNGU.
puu mbaka! 30yrs? Expired.
Kuzeeka kwa mwanamke inategemea , nikikuonyesha mdogo wangu unaweza kushangaa...Wenzake waliozaa mapema wana watoto , wengine wawili wamekomaa ila yeye unaweza kusema ana miaka 18 .Kwa jinsi wanawake wakifikisha miaka 30 wanavyoonekana wamezeeka hapo mwanasaikolojia ana hoja ya msingi na concrete evidence ya kuitetea hoja yake
Kuna mtu anataka mwanamke wa. 30+Huyo yeye aseme hawamtaki asizunguke 🤣
Sasa mwanamke mpk anafika 30+ kwa akili za kuvukia barabara unahisi anahitaji ndoa??Kuna mtu anataka mwanamke wa. 30+
Tuhamie pm ajuza mwenzangu tuyajengeNdio mkuu ajuza kabisa
😂😂😂Mental health is real Wakuu
Atabaki na maneno yake Kila siku wataolewa na wanazidi kuolewa, hivi watu tukoje? Wa miaka Tisa asiolewe eti ndogo, wa miaka thelathini eti asiolewe hana jipya, Dunia Haina akili Akili kichwani mwako, Oa/Olewa na unayempenda atakayekupa unachokihitaji, awe single mom, awe mshangazi, awe Binti mbichi, awe aliachika, Oa. Kwa Mwanamke awe shuga day, awe ana watoto, uwe mke wa pili, awe kijana mbichi Olewa na yule unayemtaka, ukisikiliza watu utakuta unabaki hivyohivyo, Mwacheni na sikolokia yake.View attachment 3215776
Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa
Hana lolote hao 30's ukiona walivonawiri kama shina la mgomba na wanaolewa asubuhi na jioni.Huyo mama kasema ukweli bwana
Mwanaume msengeee pake yake ndio anaoa mwanamke over 30Hana lolote hao 30's ukiona walivonawiri kama shina la mgomba na wanaolewa asubuhi na jioni.
Kama alopita chuo ametuma sana basi ambae hajapita chuo atakuwa ametumika mara tatu yake.Kama demu ana miaka 30 hajawai kuolewa na ashawai kupita chuo,uyo ashatumika sanaa aisee..
Ndoa ni muhimu lakini sio lazima.