Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.

Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya kwa muda tu, anakipenda chakula kwa muda tu kabla hajataka kula chakula cha aina nyingine, akiingia chooni anaisikia harufu mbaya ya chooni kwa muda mfupi, anaekaa karibu na dampo hasikii harufu, kelele za kwenye bar unazisikia kwa muda mfupi tu wa kwanza baadae unazizoea, na hata nguo au saa ya mkononi unaihisi mwilini wakati wa kuivaa tu, baada ya muda kidogo mwili unaizoea na kusahahu kama umevaa nguo au sasa au mkufu au pete.

Hali ni hiyohiyo hata kwenye mapenzi. Wanaume huwa wanasisimka kwa kuona mapaja, matiti, uchi; kusikia sauti, harufu; kunyonywa na kupapaswa sehemu mbalimbali za mwili na mtu mpya machoni na masikioni.
Hivyo kama mwanamke ataruhusu mwanaume kuona mapaja, matiti, matak, uchi na nywele mara kwa mara kwa muda mrefu; kusikia sauti yake mara kwa mara kwa muda mrefu; atanusa kila sehemu ya mwili wake kwa muda mrefu mara kwa mara, ananyonya na kuramba uchi wako, matiti na masikio mara kwa mara kwa muda mrefu na kukupapasa na kukutia vidole kwenye uchi na matakon kwako kila mara kwa muda mrefu na kama utampa mbele na nyuma kila mara kwa muda mrefu mwanaume huyo atakuchoka haraka sana kwakuwa ameshakuona sana, ameshakusikia sana, ameshakunusa sana, ameshakulamba sana na kupapasa sana na ameshatia sehemu zako zote. Yaani amekinai. Macho, pua, masikio, ulimi, na hata ngozi ya mwili wake vimekinai, hasisimki tena kwa kukuona, kukusikia, kwa harufu, ladha na hata kukupapasa hakumsisimui teeeena!!. Hapo umekwisha.

Hapa nakusudia kukuambia wewe mwanamke kuwa hakikisha kuwa mwanaume haoni mara kwa mara mapaja, matako, uchi, matiti na nywele zako, hakikisha kuwa mwanaume hakunyonyi popote wala kukurambaramba kama nyoka kwenye mwili wako, husemi/kupayuka/kugomba/ na kutia stori kwingii za simba na yanga, hakutii vidole sehemu za siri na humpi kwampalange. Hii itamfanya huyu mwanaume awe na hamu na wewe ya kukuona, kukusikia sauti, kukupapasa na kila kitu chako ni kipya na kigeni kwake kila siku.

Wazee wetu waliishi na wake zao kwa muda mrefu kwakuwa wanawake walikuwa wanajisitiri sana maungo yao, wanawake hawasemi sana mbele za watu na hata kitandani, sex ilikuwa ni usiku tu gizani, walikuwa hawarambi nyuchi za wake zao wala kujua harufu na ladha yake mdomoni.

Ukiona mwanaume anataka akuone kila sehemu, asikie sauti zako mbalimbali, akurambe kila kona na akutie kwenye matundu yake shituka, akishamaliza kukuona, kukuona, kukuramba na kukutia sehemu zote ataanza kusepa kwa kuponguza polepole idadi ya kukutana, kuonana, kutianam kurambana,m kusaidiana na kuwasiliana hadi pale atakapotokomea kabisa.
 
𝙋𝙤𝙞𝙣𝙩 𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙞𝙨𝙞 𝙠𝙞𝙯𝙖𝙯 𝙘𝙝𝙖 2000 𝙝𝙖𝙡𝙖𝙛 𝙪𝙬𝙚 𝙪𝙣𝙖𝙡𝙖𝙡𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙖𝙞𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙨𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙚 𝙢𝙩𝙖𝙢𝙖𝙣 𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙢𝙪𝙤𝙣𝙖 𝙬𝙖 𝙨𝙞𝙯𝙚 𝙣𝙖 𝙨𝙝𝙖𝙥𝙚 𝙩𝙤𝙛𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙒𝙖𝙡𝙖𝙖𝙝 𝙉𝙙𝙤𝙖 𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙝𝙖𝙯𝙞𝙩𝙤 𝙙𝙪𝙢𝙪 𝙠𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙗 𝙩𝙮𝙧 𝙩𝙪𝙨𝙝𝙖𝙤𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙟𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙡𝙖𝙙𝙝𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙖𝙞𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙢𝙠𝙚 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙛𝙠𝙖 𝙢𝙖𝙝𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙠𝙚 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙖𝙖 𝙣𝙖𝙚 𝙗𝙝𝙖𝙖𝙖𝙨 𝙠𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙣𝙞 𝙪𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚 𝙡𝙠𝙣 𝙝𝙞𝙨𝙞𝙖 𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙖𝙨𝙞 𝙠𝙞𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙟𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙡𝙤 𝙉𝘿𝙊𝘼 𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙠𝙪𝙙𝙪𝙢𝙪 𝙅𝙖𝙖𝙝 𝙖𝙞𝙣𝙜𝙞𝙡𝙞𝙚 𝙠𝙖𝙩𝙞
 
c97a6094-e5ba-48ef-b39c-21d5564f558a.jpg
 
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.
Najuta kuwavua vyupi akina dada wengi ujanani nipo kwenye ndoa lakini sasa ivi kila nikitaka kupiz namkumbuka Mamu wa Zenji
 
Lengo la hii thread ni hapo mwisho, wakuone uwarudishie wapenzi waliopotea.
Kulazimisha mapenzi ni hatari sana na sio sawa kiafya, kama hakutaki mwache aende zake. Wakati sahihi ukifika utampata wa kufanana nawe.
Hakuna mwanamke au mwanaume wa kufanana nae hata kidogo, wewe umekulia kwenu na yeye amekulia kwao malezi tofauti. kanuni za viumbe ni zilezile tu, wanawake wooote kuna vitu vievile hawavipendi kufanyiwa na kuna vitu wanapenda kufanyiwa, kuna vitu wanavitaka na vile ambavyo hawavitaki, kanuni yao ni moja tu kaka usijidanganye.
 
Najuta kuwavua vyupi akina dada wengi ujanani nipo kwenye ndoa lakini sasa ivi kila nikitaka kupiz namkumbuka Mamu wa Zenji
wazee wetu walikuwa hawachungulii hata kidogo, na bibi zetu walikuwa hawakai uchi hata kidogo hata kama wako wawili na babu tu. Hawa wa sasa macho ya mwanaume yanauzoea uchi wa mkewe na kuuona kama pua, kiganja cha mkono au kiti tu. Baada ya kufikia hatua hii mwanaume atatafuta mwanamke mwingine mpya hata kama awe mke wa mtu ambae hajaona uchi wake, na akimaliza kuuona, kuunusa, kuuramba na kuutia vidole mchana kweupe atakinai haraka na kutafuta mwingine ambae hajamuona. Akishaona sana, kusikia sana, kunusa sana na kuramba sana hisia zake sinapotea kabisa hata kama mke atamkalia uchi kama samaki ng'onda.
 
wazee wetu walikuwa hawachungulii hata kidogo, na bibi zetu walikuwa hawakai uchi hata kidogo hata kama wako wawili na babu tu. Hawa wa sasa macho ya mwanaume yanauzoea uchi wa mkewe na kuuona kama pua, kiganja cha mkono au kiti tu. Baada ya kufikia hatua hii mwanaume atatafuta mwanamke mwingine mpya hata kama awe mke wa mtu ambae hajaona uchi wake, na akimaliza kuuona, kuunusa, kuuramba na kuutia vidole mchana kweupe atakinai haraka na kutafuta mwingine ambae hajamuona. Akishaona sana, kusikia sana, kunusa sana na kuramba sana hisia zake sinapotea kabisa hata kama mke atamkalia uchi kama samaki ng'onda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom