Kwa sasa ngoja nikubali kutokataa kanuni hizi, ila exceptions zipo kwenye kila kanuni.
#Tukubaliane kutofautiana.
Sawa lakini hata biliani ukiila kila siku kwa mwezi mzima utadai upewe ugali wa unga wa mhogo. Kudhangaa ni mara moja TU. Chanzo halisi Cha nyumba ndogo na michepuko ni kukinai ulichonacho., Present is known. Hamu inapungua na kubakia kuwa chakula Cha njaa TU, yaani mpaka Umis saaana kuiona, kuinusa, kuilamba na huna mamna nyingine na nyege zimekubana.
Kinachobakia hai kwenye mapenzi ni tabia/sifa nzuri unayoipenda kwake wewe, watoto, maendeleo na sababu nyingine za kijamii kama Soni, kulaumiwa, dini nk.
Kila Mwanaume na kila mwanamke aliyeko kwenye mahusiano asitegee uchi na uzuri wake katika kutunisha mfuko wa uhusiano, bali lazima awe na kitu kingine Cha ziada (tabia, watoto, pesa, usafi, mapishi, ucheshi, kubana matumizi, uchapakazi, kipaji, nk) Cha kumshawishi mwenza wake abaki kuwa nae. Pamoja na hayo haitamzuia kutamani mtu mwingine, na kama hatachepuka basi ni kwakuhofia kukudhi TU na kuyakosa mazuri yako (pesa, kuzira kupika, kuimba,, nk)