Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Wewe ni biological father....Not a sperm donor...Kadai damu yako.....natania😊Mkuu kama unapewa mtoto kabisa kisheria awe wako kabisa na kwelikweli usimkatae, mpende kwa moyo wako wote maada watoto ni baraka na hujui atakuja kuwa nani na atakusaidia nini. Kuna mfanyakazi mwenzangu nilimpa mimba bila mumewe kujua, tulikuwa tunajua sisi tu 2 jambo hilo na mimi niliahidi kuwa sintasababisha ndoa yake kuvunjika kwa kwa kudai mtoto wa kwenye ndoa ya mtu. My friend, ni mtoto yule tu kati ya watoto wake 4 aliyekuwa na akili nyingi darasani na alikuwa anajivunia nae, mtoto yule kamaliza chuo kikuu cha Ardhi na ana ajira nzuri na kazi zake binafsi zinampa kipato kikubwa. Wale watoto wake wengine wapowapo tu hata kuolewa hawaolewi na mwingine wa kiume kasomea U DJ kichuo fulani pale Sinza anapiga mziki kwenye bar moja kule Ukonga. Nataka kusema kuwa wazee wetu hawakuwa wajinga kusema kitanda hakizai haramu ilimradi tu hakuna atakaekuja kumdai. Kwani hata angekuwa umemzaa wewe huwezi kumuuza, wala kumchinja kupata kitoweo. faida pekee ya mtoto ni kumtuma na akusaidie basi.
Ila ni mtiani sana mkeo kupigwa mimba na jamaa mwingine Mimi siwez uvumilia usalit huo.....
Mashangazi zangu Huwa ni Zaid ya DNA 🧬 TEST...
Wakimwangalia mtoto wanakwambia for sure 😊