Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Sex is overrated
Nyie mnaoangaika na ngono ni Kwamba mnafukuza upepo at my age 26yrs I will never respect sex Anymore
Hiki Chama kimekuharibu mkuu[emoji4]
JamiiForums761925658.jpg
 
Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu.

Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya kwa muda tu, anakipenda chakula kwa muda tu kabla hajataka kula chakula cha aina nyingine, akiingia chooni anaisikia harufu mbaya ya chooni kwa muda mfupi, anaekaa karibu na dampo hasikii harufu, kelele za kwenye bar unazisikia kwa muda mfupi tu wa kwanza baadae unazizoea, na hata nguo au saa ya mkononi unaihisi mwilini wakati wa kuivaa tu, baada ya muda kidogo mwili unaizoea na kusahahu kama umevaa nguo au sasa au mkufu au pete.

Hali ni hiyohiyo hata kwenye mapenzi. Wanaume huwa wanasisimka kwa kuona mapaja, matiti, uchi; kusikia sauti, harufu; kunyonywa na kupapaswa sehemu mbalimbali za mwili na mtu mpya machoni na masikioni.
Hivyo kama mwanamke ataruhusu mwanaume kuona mapaja, matiti, matak, uchi na nywele mara kwa mara kwa muda mrefu; kusikia sauti yake mara kwa mara kwa muda mrefu; atanusa kila sehemu ya mwili wake kwa muda mrefu mara kwa mara, ananyonya na kuramba uchi wako, matiti na masikio mara kwa mara kwa muda mrefu na kukupapasa na kukutia vidole kwenye uchi na matakon kwako kila mara kwa muda mrefu na kama utampa mbele na nyuma kila mara kwa muda mrefu mwanaume huyo atakuchoka haraka sana kwakuwa ameshakuona sana, ameshakusikia sana, ameshakunusa sana, ameshakulamba sana na kupapasa sana na ameshatia sehemu zako zote. Yaani amekinai. Macho, pua, masikio, ulimi, na hata ngozi ya mwili wake vimekinai, hasisimki tena kwa kukuona, kukusikia, kwa harufu, ladha na hata kukupapasa hakumsisimui teeeena!!. Hapo umekwisha.

Hapa nakusudia kukuambia wewe mwanamke kuwa hakikisha kuwa mwanaume haoni mara kwa mara mapaja, matako, uchi, matiti na nywele zako, hakikisha kuwa mwanaume hakunyonyi popote wala kukurambaramba kama nyoka kwenye mwili wako, husemi/kupayuka/kugomba/ na kutia stori kwingii za simba na yanga, hakutii vidole sehemu za siri na humpi kwampalange. Hii itamfanya huyu mwanaume awe na hamu na wewe ya kukuona, kukusikia sauti, kukupapasa na kila kitu chako ni kipya na kigeni kwake kila siku.

Wazee wetu waliishi na wake zao kwa muda mrefu kwakuwa wanawake walikuwa wanajisitiri sana maungo yao, wanawake hawasemi sana mbele za watu na hata kitandani, sex ilikuwa ni usiku tu gizani, walikuwa hawarambi nyuchi za wake zao wala kujua harufu na ladha yake mdomoni.

Ukiona mwanaume anataka akuone kila sehemu, asikie sauti zako mbalimbali, akurambe kila kona na akutie kwenye matundu yake shituka, akishamaliza kukuona, kukuona, kukuramba na kukutia sehemu zote ataanza kusepa kwa kuponguza polepole idadi ya kukutana, kuonana, kutianam kurambana,m kusaidiana na kuwasiliana hadi pale atakapotokomea kabisa.
Sio kwel mm nipo tofaut sana....Love is just like a war easy to start difficult to end 🔚
Kwanza Huwa naogopa kuanzisha mausiano na mtu Kwa kum tricky kumdanganya....

In my life Niwewai kuwapotezea wanawake Zaid ya 20 ambao rafik zangu wamewai kuniambia mbona hizi bahati hatuzipati sisi.....

Kuna siku tuliwai kufanya COUNT DOWN 👇 ya idadi ya wanawake tulio wai kutembea nao mim hata 10 hawafik Kuna rafik angu alifikisha 100 na ushee sex partners....

Mapenzi ya dhati huishi moyoni..ni za tamaa za ngono...
 
ukikutana na mwanamke ana uchi una harufu nzuri ujue ameuharibu kwa kuusugua na magunzi kutoa shombo yake. Afya nzuri ya uchi, ngozi, nywele ni wakati ikabakia na uasili wake. Tunawashauri wanawake wasiweke sababu, dawa wala povu la aina yoyote ukeni ili kulinda wanyama wanaoishi ukeni (normal flora) kwaajili ya afya ya ukeni. Yaani kila kiumbe na kila kiungo kina harufu yake, izoee hiyo kwa mkeo, mtaishi milele. Nilikuwa na hawara yangu mzungu akawa ananishangaa nikioga na kunawa kila wakati mchana na jioni, akaniambia utazeesha ngozi haraka kama unaoga na kunawa kila wakati. Yeye anajifuta (pant) tu na kitambaa. Huko ukeni ndio kabisaa anapitisha maji kidogo tu, wana harufu yao ni lazima uizoee.
Niliposema nzuri sikumaanisha kunukia kama maua
Lakini kuna harufu natural ya uchi iko neutral ambayo si mbaya
 
Wee mzee huyo mwanamke si mligombana baada ya yeye kukudai sjui nyumba umjengee ama kitu gani vile??

Kwahiyo umeshakabidhi nyumba kwa huyo Mamajay wako?[emoji23][emoji23][emoji23].

Daa kwel nyie mapenzi yenu yaajabu hamuachani tu[emoji23][emoji23]
Ukitaka upunguze ugomvi na mamajay usiiguse simu yake. Ushahidi wa namna alivyokuchoka unapatikana kwenye simu yake, na kama unabisha hebu siku moja kuchukua line yake uiweke kwenye simu yako kwa siku nzima ili ushangae na roho yako.
 
Sio kwel mm nipo tofaut sana....Love is just like a war easy to start difficult to end 🔚
Kwanza Huwa naogopa kuanzisha mausiano na mtu Kwa kum tricky kumdanganya....

In my life Niwewai kuwapotezea wanawake Zaid ya 20 ambao rafik zangu wamewai kuniambia mbona hizi bahati hatuzipati sisi.....

Kuna siku tuliwai kufanya COUNT DOWN 👇 ya idadi ya wanawake tulio wai kutembea nao mim hata 10 hawafik Kuna rafik angu alifikisha 100 na ushee sex partners....

Mapenzi ya dhati huishi moyoni..ni za tamaa za ngono...
Kaka hiyo sio ajabu, ni tabia ya viumbe wote. Kuna madume ya ng'ombe, mbuzi. kuku, faru, mbweha, simba na wengine ambayo hayana uwezo wa kupanda sana majike yao. Kizazi na idadi hiyo jamii ya viumbehai (species) inapungua kabisa hadi kutoweka kutokana na tabia ya madume hao wavivu, wagonjwa na wazembe kwenye ngono. Hiyo sio sifa nzuri kwa mwanaume wa kiumbe yeyote.

Tunataka dume ambalo halilali kwa kusex na majike, hasa yale madume ambayo yana sifa na tabia pendwa. Mbegu ulizopewa kwenye korodani zako ni mabilions kwaajili ya wanawake wengi. Mwanaume kufa ukiwa na mtoto mmoja au wawili ni chukizo hata kwa mungu. Hii inamaanisha ama huna nguvu nyingi za kiume, ama ulikuwa unatembea na mkeo huyohuyo hata kama ana mimba tayari, anableed au hata kama anaumwa.
 
𝙋𝙤𝙞𝙣𝙩 𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙣 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙞𝙨𝙞 𝙠𝙞𝙯𝙖𝙯 𝙘𝙝𝙖 2000 𝙝𝙖𝙡𝙖𝙛 𝙪𝙬𝙚 𝙪𝙣𝙖𝙡𝙖𝙡𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙖𝙞𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙨𝙘𝙝𝙖𝙣𝙖 𝙪𝙣𝙖𝙚 𝙢𝙩𝙖𝙢𝙖𝙣 𝙖𝙪 𝙠𝙪𝙢𝙪𝙤𝙣𝙖 𝙬𝙖 𝙨𝙞𝙯𝙚 𝙣𝙖 𝙨𝙝𝙖𝙥𝙚 𝙩𝙤𝙛𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙒𝙖𝙡𝙖𝙖𝙝 𝙉𝙙𝙤𝙖 𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙝𝙖𝙯𝙞𝙩𝙤 𝙙𝙪𝙢𝙪 𝙠𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙗 𝙩𝙮𝙧 𝙩𝙪𝙨𝙝𝙖𝙤𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙣𝙟𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙡𝙖𝙙𝙝𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙖𝙞𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙢𝙠𝙚 𝙨𝙖𝙨𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙛𝙠𝙖 𝙢𝙖𝙝𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙠𝙚 𝙪𝙣𝙖𝙠𝙖𝙖 𝙣𝙖𝙚 𝙗𝙝𝙖𝙖𝙖𝙨 𝙠𝙬𝙖𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙣𝙞 𝙪𝙖𝙣𝙖𝙪𝙢𝙚 𝙡𝙠𝙣 𝙝𝙞𝙨𝙞𝙖 𝙣𝙞 𝙠𝙞𝙖𝙨𝙞 𝙠𝙞𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙟𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙡𝙤 𝙉𝘿𝙊𝘼 𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙠𝙪𝙙𝙪𝙢𝙪 𝙅𝙖𝙖𝙝 𝙖𝙞𝙣𝙜𝙞𝙡𝙞𝙚 𝙠𝙖𝙩𝙞
Kiufupi ndoa hazina maana siku hizi, cha msingi kuzaliana tu
 
Hakuna mwanamke au mwanaume wa kufanana nae hata kidogo, wewe umekulia kwenu na yeye amekulia kwao malezi tofauti. kanuni za viumbe ni zilezile tu, wanawake wooote kuna vitu vievile hawavipendi kufanyiwa na kuna vitu wanapenda kufanyiwa, kuna vitu wanavitaka na vile ambavyo hawavitaki, kanuni yao ni moja tu kaka usijidanganye.
Na kudanganywa ndo haki yake mwanamke.. ukisema sana ukweli itakula kwako
 
wazee wetu walikuwa hawachungulii hata kidogo, na bibi zetu walikuwa hawakai uchi hata kidogo hata kama wako wawili na babu tu. Hawa wa sasa macho ya mwanaume yanauzoea uchi wa mkewe na kuuona kama pua, kiganja cha mkono au kiti tu. Baada ya kufikia hatua hii mwanaume atatafuta mwanamke mwingine mpya hata kama awe mke wa mtu ambae hajaona uchi wake, na akimaliza kuuona, kuunusa, kuuramba na kuutia vidole mchana kweupe atakinai haraka na kutafuta mwingine ambae hajamuona. Akishaona sana, kusikia sana, kunusa sana na kuramba sana hisia zake sinapotea kabisa hata kama mke atamkalia uchi kama samaki ng'onda.
Ila hamna kitu inakata stimu kama kumchoka mwanamke alafu ulale nae... Alaf mbaya zaidi awe anatoa cream na harufu mbaya ya uchi
 
Kaka hiyo sio ajabu, ni tabia ya viumbe wote. Kuna madume ya ng'ombe, mbuzi. kuku, faru, mbweha, simba na wengine ambayo hayana uwezo wa kupanda sana majike yao. Kizazi na idadi hiyo jamii ya viumbehai (species) inapungua kabisa hadi kutoweka kutokana na tabia ya madume hao wavivu, wagonjwa na wazembe kwenye ngono. Hiyo sio sifa nzuri kwa mwanaume wa kiumbe yeyote. Tunataka dume ambalo halilali kwa kusex na majike, hasa yale madume ambayo yana sifa na tabia pendwa. Mbegu ulizopewa kwenye korodani zako ni mabilions kwaajili ya wanawake wengi. Mwanaume kufa ukiwa na mtoto mmoja au wawili ni chukizo hata kwa mungu. Hii inamaanisha ama huna nguvu nyingi za kiume, ama ulikuwa unatembea na mkeo huyohuyo hata kama ana mimba tayari, anableed au hata kama anaumwa.
Mkuu
Mke wangu ana nitosha sana sioni SABABU....

Sioni sabb ya kujifananisha na madume ya kuku, Bata,mamba, jongoo, Mbuzi, kondoo, Ngo'mbe, nguruwe, punda....E.t.c
😊🤓

Mbona huja msemea NJIWA na ndege wengine....

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Wasalaam
Kwa Sasa
+267
 
Johari window
I know myself others know me, i dont know myself others know me
I know myself others dont know me, i dont know me others dont know me
I know myself others know me:
Maana yake vile alivyokukuta (tabia, usafi, mavazi, makeups) ubaki hivyohivyo usibadilike
i dont know myself others know me
Maana yake muulize mweza wako 'unanionaje?' hii itakupa room ya kufahamu tabia zako asizozipenda ambazo wewe huzijui.
I know myself others dont know me,
Badala ya kutegemea uzuri na uchi na mavazi, nk ambayo yeye ananifahamu muonyeshe kwamba una vitu, sifa, na ujuzi na vipaji ambavyo unavyo. Mfano, mlikutana tu lakini hajui kama wewe unajua kufuma, kutunza bustani nzuri, kuimba, kusuka, au hata kuigiza pia.

i dont know me others dont know me
Hii ni ile inayoitwa elimu haina mwisho, hujafa hujaumbika au chumba cha mabadiliko hakijai au is not over till it is over. Jifunze mambo mapya kabisa kwaajili yako na kwaajili ya familia. Yaani kama ulikuwa hujui kupika keki nenda kajifunze, kama ulikuwa hujui kiingereza nenda kajifunze, kama ulikuwa hujui kuimba nenda kajifunze ili kuboresha tabia, ujuzi, na thamani yako kwenye jamii, kazini, kwenye familia, kwenye biashara, nk. yaani usiseme siwezi, sijui, never,
 
Kukinai ni kwa jinsia zote ila wanaume wanakinai haraka zaidi. Mwanamke anakinai haraka kama mume hamtunzi, anacheat na hamthamini. Wanawake wanachohitaji ni kupendwa na kuhudumiwa vizuri kiuchumi na kimapenzi kwasababu hata kama mwanamke hasisimuliwi na mwanaume anaweza kutimiza tendo la ndoa ukilinganisha na mwanaume ambae ni lazima asimamishe uume ndio aweze kutimiza tendo la ndoa, akishakinai hadisi tena labda atumie vumbi la Congo au amfikirie mwanamke mwingine mpya aliyempata sikku hizi mbili za karibu
Sa jiulize hiyo kazi ya kugonga mtu "A" huku unafikiria mtu "B" ni kazi rahisi??
Personally speaking kuna wakat nlikuwa na dem mmoja huyo alikuwa usafi wa uzazi ni changamoto.
Ni bora ningetoboa ukuta ambao haujapigwa plasta, nikaweka kigodoro na mafuta coz nlikuwa sijui kama unaeza gongana huku ukibana pumzi[emoji2961]
 
Chakuzingatia mkeo lazima umfikishe kileleni kila unaposex nae. Na hakikisha kuwa husex nae kila siku kila wakati, lakini kila ukisex lazima afike kileleni.
Bro kuna watu humu ndani hawaelewi hicho unachosema. Infact inasikitisha sana kwa kuwa kiasi kikubwa cha wanaume hawana nguvu za kiume
 
Kila mtu lazima afahamu kuwa sex ni kwaajili ya kuzaa tu, sio starehe. hamu ya kupenda sex itapungua kama utafanya sex mara mojamoja na mkeo huyo. Mke haondoki kama ukimzalisha watoto wengi, 3 na zaidi na haondoki kabisaa kama utamzalisha watoto 5 na zaidi.
Ila haimaanishi hatakuwa na nyege... We usimkaze uone
 
Mbona mamaJ mwaka wa 4 huu
Kila Akikaa uchi mnara unasoma 5G
Haipiti siku 2 sijaibabua mbususu yake,
Leo kaanza P,mpk amalze nyege ztaniua
Mkuu humu ndani kuna mchanganyiko mkubwa wa watu na tabia zao. WAZINZI wapo humu. Na hawa ndio wanaowakinai wake zao. Wavulana wapo humu. Vijana wanaotaka kuoa lakini hawajajua wa kumwoa na WAPO KWENYE UCHUMBA SUGU na mabinti kadhaa wote amewaambia atawaoa wapo humu. Sasa sisi ambao macho yetu hayakinaishwi na wake zetu naona uzi huu umetupita kushoto. Tamaa ya fisi ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom