Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

Binadamu ni kama viumbe wengine tu, ana wivu kama wanyama wengine lakini hana shida kuchangia mwanamke au mwanaume kama walivyo wanyama wengine. Ndiyo maana mwanaume na mwanamke wanaweza kutembea na mke au mume wa jirani, rafiki, boss au mtu mwingine tu wanaemfahamu au wasiomfahamu, ila hawako tayari mke au mume wake yeye aliwe na mtu mwingine. Huu ni wivu tu walionao viumbe wote wakiwemo jogoo, fisi na beberu. Mwanaume wa kweli hamuachi mkewe au mumewe kwa kutembea na mke au mume mwingine, bali atalipiza kwa kutembea na mke au mume mwingine ili kutuliza roho na kumaliza 'kosa'. Msemo wa kitanda hakizai haramu ulianzia hapo, yaani kesi ya mapenzi inamalizwa kwa mapenzi, na kesi ya kucheat inamalizwa kwa kucheat, kesi ya kuzaa nje inamalizwa kwa kuzaa nje, na kesi ya masikini hakimu wake ni Mungu pekee.
 
Eiwaaaa!! ndio maana mwanamke ili adumu na huyo kaka lazima awe na vitu vingine vya ziada zaidi ya uchi wake, matiti yake, mapaja yake, matako yake, sauti yake , miguu yake, kucha zake na hata nywele zake. Na baadhi ya sifa hizo ni kuwa na watoto na huyo mume, kuvumilia na kusamehe sana, kumpunguzia mume matumizi ya hovyo, usafi, kupika vizuri, kumsaidia mwanaume kukamilisha miradi/mambo yake kwa wepesi zaidi, nk.



Hii ifanyiwe Lamination kabisa.

Isipokuwa watoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
 
Sawa wameshasikia rambaramba
Kuna mtu anavutiwa na matako makubwa na mapaja yakiwa yamefichwa kwenye baibui, dera, gauni au tight. Moyoni anawaza sijui itakuwaje leo nikifika nae chumbani, ghafla chumbani paaaa! Anawasha taa mwanga mkubwa ili aone na kufaidi matako kwa karibu, lahaulah!!!!! anakutana na makunyanzi, makovu na mishipa ya damu imetambaa juu ya ngozi (varicose veins) hadi kiu yote inakata ghafla. Hatasema pale lakini atasema hee kumbe ni hivi, harudi tena huyu humu, hayo ni macho tu, bado kunusa, bado kupapasa, bado kusikia na bado kutiana.
 
Angalia sana hii, hata pale kitandani, mwanamke anaesisimua ni yule unaehangaika nae kumvua kilemba, sidiria, gauni then nguo zake za ndani polepole kimojakimoja kuliko yule anaejikurupusha mwenye kuvua nguo zake zote kisha ng'aaanu kitandani, Mungu wangu!!!! utajisemea na kuanza kazi ya kujisisimua.
 
Kuna wanaume wanatamani Kama ingewezekana wakaishi mbali huko na mwanamke wake!

Kama yuko bara natamani aende Pwani mbali na Kama yuko Pwani anatamani akaishi bara mbali huko hata kama ni mashambani!
 
Nimejifunza kitu humu !

Sasa Mleta mada mbona wanasema Eti mwanamke awe malaya kwa Mwanaume wake? Including kuji-expose kuwa uchi Karibu yake?
ajaribu kufanya hivyo aone. Kumpenda sana mume wako sio kumwambia ninyoe mavuz£, ninuse, nirambe ukeni na kuchungulia mkund* kwenye mwanga mkali. Sisi huwa tunasemaga kwenye masomo ya ndoa kuwa mumeousimpe yote ili kila siku achuchumie ili afike mwisho, yaani mtengenezee kiu ya kufika mwisho wa starehe. kama mke atampa mumewe kila kitu kwa siku moja atakuwa amefilisika, hatakuwa na jipya tena kesho na hata mume atajua kuwa sina jipya kwa mke yule. Anatakiwa afanye rotation ya kikosi, leo hivi, kesho vile kisho kutwa kile na sio siku hiyohiyo unalala chali, kifudifudi, chuma mboga kwenye kochi, bafuni, sitting room, matakani, umeramba, umefanya vile, loooooh!!! unajifilisi mwenyewe kwa kukosa maarifa
 
Umenikumbusha “ The theory of marginal utility “

Ulichoandika Mleta mada ni kweli kabisa hata kupitia studies mbali.

Isipokuwa Kwa wachache ambao wanakutana mara chache na wale walorogwa kama kina brother Pond.
Chakuzingatia mkeo lazima umfikishe kileleni kila unaposex nae. Na hakikisha kuwa husex nae kila siku kila wakati, lakini kila ukisex lazima afike kileleni.
 
Sex is overrated
Nyie mnaoangaika na ngono ni Kwamba mnafukuza upepo at my age 26yrs I will never respect sex Anymore
Kila mtu lazima afahamu kuwa sex ni kwaajili ya kuzaa tu, sio starehe. hamu ya kupenda sex itapungua kama utafanya sex mara mojamoja na mkeo huyo. Mke haondoki kama ukimzalisha watoto wengi, 3 na zaidi na haondoki kabisaa kama utamzalisha watoto 5 na zaidi.
 
Hiyo njoo inbox, lakini njoo ukishamaliza kusoma vitu vifuatavyo: Johari Windows, Abraham Maslow's hierarchy of needs, Motivation theories, Operant conditioning ya BF. Skinner na Schedules of reinforcements,
Johari window
I know myself others know me, i dont know myself others know me
I know myself others dont know me, i dont know me others dont know me
 
Back
Top Bottom